Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwache ajilie vitu laini roho inapenda, sheria ya tz inasema mtoto akitimiza miaka 18 huyo ni mkubwa ruksa kuolewa au kuoa.
Akaaa! kwani watoto wenzie hakuwaona huyo Jackline au mengi alimkuta na kinyonyo mdomoni? kama mtoto basi nikwao kwa babake na mamake...Jana kwenye mazishi ya Mh Sumari nilimshuhudia Mengi Akiwa na Jackline Ntuyabaliwe kama mtu na mkewe.Sielewi huyu mzee anafundisha nini vijana wa taifa hili bila hata aibu,age difference ni mtoto wake wa mwisho.
Nashanga wanahaki unusu yakupenda tena wazee wana jali kuliko hao vijana hawana lolote choyo tuuu.mwacheni ale raha zake.Hivi wazee hawana haki ya kupenda au kupendwa? Mbona tunalaumu tu pesa pesa!