Meninah afunga ndoa tena

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unampa sifaaa..... ona alichofanya sasa,wenzake wanamtetea kua video zisisambazwe eti wataaibika dada zetu na mama zetu.Mama au dada yangu wasitumike kama ngao.
 
rudia kuandika ulichoandika mkuu
 
Huyu ni wife matetial kweli???[emoji849][emoji849][emoji849]
 
Mkuu hii thread ni mwaka 2016..so ni kaburi limefukuliwa.
Aliolewa na mtoto was muheshimiwa sospeter muhongo ndoa ikavunjika
Mwaka 2016 akaolewa na huyo kaka shombe mwaka huu mwanzoni ikavunjika.
Haya Leo mapya!
Labda nlivyokua namuona mie maana mitandaoni watu wako fake sana.
Huyu ni wife matetial kweli???[emoji849][emoji849][emoji849]
 
Kumbe ulikua unamuongelea mtu tabia kwa kutumia a/c ya IG?😳.

Siku nyingine uwe serious.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…