Meninah afunga ndoa tena

I hope huyo sio role model wako..

Mimi hapo siwezi mlaumu mwanaume..

Mwanamke mwenyewe kajiharibia kwa kutokuwa na akili kichwani...

Yani huu utandawazi tunaona mengi sana ya ajabu ajabu.

 
Ukiona mtu ametoboa ulimi ile sifa ya w/material inakufa.
 
Vipi mkuu, una maoni gani ukizingatia yaliyotokea hivi karibuni?
 
Aisee yaani jamaa alibadili dini kwa sababu ya papuchi...cheki sasa imemkimbia. Mapapuchi yalivyojaa tele unayabadilishia dini kabisa? Serious?
 
Nimetoka kusikiliza intvw wa aliyekuwa mume wake wa pili,jamaa ni Gentleman japokuwa mwandishi alikuwa ana mchokonoa lkn amemstiri sana Menina.


Ila najiulizaga hivi kwa nini wanawake ,wanapenda wanaume wahuni wahuni,pasta vichwa,wale wenye maneno mengi kama Mwijaku alafu wanawaacha watu wa maana,yaani sijui kwenye vichwa vyao huwaga wana wazaga nini.

Alafu kumbe video zile Menina ndiye aliyemtumia Mwijaku,sasa sijajua ndio alikuwa ana mtongoza ili amgonge,Mwijaku naye ndio akaamua kuziachia.

Ila dada zangu huwaga wanaponzwaga sana na maamuzi yao mabovu,yaani video ya masaa machache,iliyovujishwa na mpuuzi Mwijaku asiyejua thamani na utu wa Mwanamke,ishamshusha thamani Menina.

Alafu masistaa du na macelebrity wengi wa bongo wanazo hizi video tena wemejirekodi kwa utashi wao wenyewe,tena wengine wanazisambaza wenyewe,manake hizi video zishakuwa kama series hatujui kesho itakuwa zamu ya nani.
 
Na ndio maana wengi wao hawashangai na hawamcheki Amber Luty!
Ndio hivo..jiulize kwanini wanateteana.
Hats wasio na umaarufu wanafanya huu upuuzi..
Ni swala la kua makini tu.maana unaweza jiapia siwez kufanya huu upuuzi then mpenzi wako anakurekodi kisirisiri..
 
Kuna siku zamaradi alimsifia sana huyu BINTI kuwa kashika sana dini..simuhukumu ila ile ASS shaking like Bella Bellz inanipa mashaka kwa mtu aliyeshika dini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…