Zeus1
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 7,152
- 9,206
I hope huyo sio role model wako..
Mimi hapo siwezi mlaumu mwanaume..
Mwanamke mwenyewe kajiharibia kwa kutokuwa na akili kichwani...
Yani huu utandawazi tunaona mengi sana ya ajabu ajabu.
Mimi hapo siwezi mlaumu mwanaume..
Mwanamke mwenyewe kajiharibia kwa kutokuwa na akili kichwani...
Yani huu utandawazi tunaona mengi sana ya ajabu ajabu.
Mkuu hii thread ni mwaka 2016..so ni kaburi limefukuliwa.
Aliolewa na mtoto was muheshimiwa sospeter muhongo ndoa ikavunjika
Mwaka 2016 akaolewa na huyo kaka shombe mwaka huu mwanzoni ikavunjika.
Haya Leo mapya!
Labda nlivyokua namuona mie maana mitandaoni watu wako fake sana.