Who is meninah anyway?
Meninah is the branch of biology which deals with plant and animal,ova
Who is meninah anyway?
Hii inanikumbusha juzi juzi Paris, pale Jay Z alipokuwa akikatiza mitaa ya jiji hilo, raia kibao wakawa wanataka kumpiga picha. Kuna mzungu mmoja akamuuliza mwenzake who is this?, Jay Z kumbe alimsikia, akamgeukia huyo jamaa na kumuuliza who are you?
Hehehehehehhehe binam shikamooooMeninah is the branch of biology which deals with plant and animal,ova
Hehehehehehhehe binam shikamoooo
Ha ha ha umenichekeshaje
Hii inanikumbusha juzi juzi Paris, pale Jay Z alipokuwa akikatiza mitaa ya jiji hilo, raia kibao wakawa wanataka kumpiga picha. Kuna mzungu mmoja akamuuliza mwenzake who is this?, Jay Z kumbe alimsikia, akamgeukia huyo jamaa na kumuuliza who are you?
Na wewe ulikuwepo hiyo mitaa ninii au ndio fix tu
Meninah is the branch of biology which deals with plant and animal,ova
Haha.. Nilikuwepo Mkuu.
Mmmhh weka pichaa