Meninah amwanika Diamond tena, afunguka mengi kuhusu mahusiano yao, pia jinsi Wema alivyo mpapresha

Who is meninah anyway?

Hii inanikumbusha juzi juzi Paris, pale Jay Z alipokuwa akikatiza mitaa ya jiji hilo, raia kibao wakawa wanataka kumpiga picha. Kuna mzungu mmoja akamuuliza mwenzake “who is this?“, Jay Z kumbe alimsikia, akamgeukia huyo jamaa na kumuuliza “who are you?”
 
Ndo ajue kuna pipo who simply do not give a fu.ck
 
Hii inanikumbusha juzi juzi Paris, pale Jay Z alipokuwa akikatiza mitaa ya jiji hilo, raia kibao wakawa wanataka kumpiga picha. Kuna mzungu mmoja akamuuliza mwenzake “who is this?“, Jay Z kumbe alimsikia, akamgeukia huyo jamaa na kumuuliza “who are you?”

Na wewe ulikuwepo hiyo mitaa ninii au ndio fix tu
 
Huwa watu hawana kazi za kufanya na mwisho wao huwa mbaya sana
 
Kuna vitu vingi vinaongelewa himu. Ila huyu aliyeleta huu ujumbe ni muongo. No evidence no ryt to speak. Usiwachafulie watu majina. Tena nahisi utakuwa unamchukia meninah. Since diamond arudiane na wema ajawai kutoka na demu mwingine. Tena publically. Kupiga hiyo atapiga ya kishkaji na mastripa au mahoe lakini sio mpnz wa for really acha uongo wako. Usifanye wa huku tuonekane wambea kama insta tafadhali.
 
kuna watu nasikiaga habari zao but sio mziki wao

1. Meninah
2. Nuh Mziwanda

sijawahi kusikia wala kuona kazi zao za sanaa
 
Back
Top Bottom