Meninah: Mimi na Diamond hatuendani

Meninah: Mimi na Diamond hatuendani

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
STAA wa muziki wa Bongo Fleva , Meninah Abdulkareem ' Meninah' amefunguka juu ya tetesi zinazoenea kuwa na uhusiano wa chinichini na Nasib Abdul ' Diamond ' kwa kusema kuwa siyo levo yake.

Akichonga na paparazi wetu , Meninah anayetamba na ngoma ya Pipi ya Kijiti alikanusha na kusema kuwa , wote ni mastaa lakini wametofautiana kwa kiasi kikubwa na kwamba hawezi kuwa naye katika mahusiano ya aina yoyote.

"Kwanza nilishawahi kukutana naye kwenye shoo tofauti na zote sikuwahi hata kuzungumza naye chochote, ni staa na mimi staa lakini tunatofautiana kuwa yeye yupo juu yangu, " alisema Meninah .
 
Yaani domo ana sumu mbaya......akae nae mbali kabisaaaaaaaa
 
Huyu ndiyo meninah
 
Attachments

  • 1408818765842.jpg
    1408818765842.jpg
    10 KB · Views: 1,544
Hana lolote naskia ndio mchepuko wake ndo maana madame alichanganyikiwa kutwa mipombe ya kutoa stress
 
Hana lolote naskia ndio mchepuko wake ndo maana madame alichanganyikiwa kutwa mipombe ya kutoa stress

Huyu ndomo nyie mmh!!, kila demu anafanya yeye tu mmh!! Kwel ustaa wa bongo unalipa
 
Huyu ndomo nyie mmh!!, kila demu anafanya yeye tu mmh!! Kwel ustaa wa bongo unalipa

Mademu wenyewe wakibongo wanajilengesha na kujipendekeza yenyewe ili waonekane wametoka na star hata ye domo si bure kuna kitu kwanini anapenda kutembea na wadada maarufu au ndo mambo ya kinyota
 
Mademu wenyewe wakibongo wanajilengesha na kujipendekeza yenyewe ili waonekane wametoka na star hata ye domo si bure kuna kitu kwanini anapenda kutembea na wadada maarufu au ndo mambo ya kinyota

Mi nasubir tu huyo ndoa yao na mama ubaya maana matangazo hadi tumechoka

Jokate nae alitaka kufunga ndoa na ndomo sijui ikawaje
 
kwa jinsi anavyoongea inaonyesha diamond akiomba mzigo anapewa....ni km anasubiri atongozwe tu
 
kwa jinsi anavyoongea inaonyesha diamond akiomba mzigo anapewa....ni km anasubiri atongozwe tu

Umeona eeeh? Yani hajajibu tuhuma kama alivyotuhumiwa, kajibu kirahis kweli it means ndomo anytime akitaka anapiga
 
Back
Top Bottom