Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Yusso!!! hii ni dawa ya kusafisha vidonda kama sikosei. ilikuwaje akapewa hiyo atumie kwenye meno?
Au umekosea?
Tena ni kwa ajili ya vidonda septic ama visivyokuwa fresh!!!
Atakuwa alienda gerage! Antibiotics?
Na fragyl huwa ya kufunga mtu kuhara?
Yusso!!! hii ni dawa ya kusafisha vidonda kama sikosei. ilikuwaje akapewa hiyo atumie kwenye meno?
Au umekosea?
Na fragyl huwa ya kufunga mtu kuhara?
Duh! Ufizi unakutu?!!.... Mama yako atakua ana asili ya vyuma mkuu!
Ushauri: mwambie akae mbali na vitu vyenye sumaku.
Yusso!!! hii ni dawa ya kusafisha vidonda kama sikosei. ilikuwaje akapewa hiyo atumie kwenye meno?
Au umekosea?
Mama yangu meno yake yanatoa vitu km mchanga na vinyuzi nyuzi, alikwenda hospitali walimkwangua na kumpa dawa ya YUSSO kwa siku 7 na FLAGILY na amoxilin, DR alisema ufiz UNAKUTU.Lakin tatizo bado halijaisha. Naomben msaada Dr wa humu ndan
Kuwa makini katika uwasilishaji wako wa MADA. Rejea hapo kwenye herufi kubwa.
Basi sawa dawa je??? Ushaur wako ni upi au uelewa wako kwenye huo ugongwa jeeeee??? Ni upi
Hajasema tu, itakuwa walimpiga niru na wash and wear painting.