Meno kutoa michanga michanga

Meno kutoa michanga michanga

Mtili wandu

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2012
Posts
8,257
Reaction score
11,499
Mama yangu meno yake yanatoa vitu km mchanga na vinyuzi nyuzi, alikwenda hospitali walimkwangua na kumpa dawa ya YUsso kwa siku 7 na flagily na amoxilin, DR alisema ufiz unakutu.Lakin tatizo bado halijaisha. Naomben msaada Dr wa humu ndan
 
Yusso!!! hii ni dawa ya kusafisha vidonda kama sikosei. ilikuwaje akapewa hiyo atumie kwenye meno?
Au umekosea?
 
Duh! Ufizi unakutu?!!.... Mama yako atakua ana asili ya vyuma mkuu!

Ushauri: mwambie akae mbali na vitu vyenye sumaku.
 
Yusso!!! hii ni dawa ya kusafisha vidonda kama sikosei. ilikuwaje akapewa hiyo atumie kwenye meno?
Au umekosea?

Ni ya maji km bosi oral made km yuso
sina utaalam wa hivyo vitu hata
 
Duh! Ufizi unakutu?!!.... Mama yako atakua ana asili ya vyuma mkuu!

Ushauri: mwambie akae mbali na vitu vyenye sumaku.

kuwa makin kidogo kwenye majibu yako,
 
Hiyo dawa inaitwa chrorinated lime and baoric acid solution ni ya maji wataalam wanajua ni ya kusukutua alipo kwangua hayo meno damu zilikuwa zinatoka,asante nawakilisha
 
Mama yangu meno yake yanatoa vitu km mchanga na vinyuzi nyuzi, alikwenda hospitali walimkwangua na kumpa dawa ya YUSSO kwa siku 7 na FLAGILY na amoxilin, DR alisema ufiz UNAKUTU.Lakin tatizo bado halijaisha. Naomben msaada Dr wa humu ndan

Kuwa makini katika uwasilishaji wako wa MADA. Rejea hapo kwenye herufi kubwa.
 
Kuwa makini katika uwasilishaji wako wa MADA. Rejea hapo kwenye herufi kubwa.

Basi sawa dawa je??? Ushaur wako ni upi au uelewa wako kwenye huo ugongwa jeeeee??? Ni upi
 
Basi sawa dawa je??? Ushaur wako ni upi au uelewa wako kwenye huo ugongwa jeeeee??? Ni upi

Nenda Muhimbili kitengo cha Meno watakusaidia, kila la heri mkuu! Mpe pole mgonjwa
 
kama uko bongo mpeleke hapo regency hosp akasafishe meno
yake japo wana bei kubwa ila tiba yao ni safi.
 
Back
Top Bottom