Meno ya Diamond Platnums ni shs milioni 11

kasema ni ujana, ila nimesikia kamtaja na AY. Ila kwa mpunga alionao ni halali yake kufanya hivyo, mbona analipia plate number ya gari lake mamilion kwa mwaka?
 
50 Cent nae kafilisika? hahaha yaani umeharibu bandiko lako mazimaa!! Una siasa hadi kwenye mambo ya kijinga sasa
Kwa 50 Cent hata mim nimeshtuka,lakini kila la kheri kwake maana kichwa chake na meno yake yatakuwa dili mtaani,mateja watamuachaje sasa.
 
kasema ni ujana, ila nimesikia kamtaja na AY. Ila kwa mpunga alionao ni halali yake kufanya hivyo, mbona analipia plate number ya gari lake mamilion kwa mwaka?
Issue siyo kuwa na mpunga. Issue ni kufanya mpunga uendelee kuongezeka hata bila kufanya kazi. Muziki una mwisho.
 
Msanii Diamond leo amefunguka kupitia kipindi cha XXL kuwa thamani ya meno yake ya bandia ya dhahabu ambayo amekuwa akionekana nayo siku za karibuni ni shs milioni 11.

My perception: Hivi wasanii wa kibongo mtajifunza lini kuwa na financial discipline? Yaani umetafuta hela kwa kujinyima ukianzia maisha magumu halafu leo mambo yamekunyookea unaanza kutumiatumia ovyovyo kama mtu usiyejielewa?

Mike Tyson kuna kipindi thamani yake ilikuwa $300m. Lakini leo hii inabidi aoshe vyombo kwenye migahawa ili apate pesa za kulipia bill ya umeme. 50 cent naye hali tete. Yuko wapi Kanda Bongoman aliyewahi kuja Tanzania na kujaza ukumbi wa Diamond Jubilee kwa kiingilio cha laki 1 tena miaka ya 90s?

Diamond ajue tu kuwa historia ina tabia ya kujirudia. Lakini ana nafasi ya kubadilika akiamua kufanya hivyo.
50 cent !!!!!?????
Ooosh!!!! hajafilisika wala haoshi vyombo umedanganywa!!!!
 
Ongezea na MR. NICE......
 
Aisee wewe dada hapo kwa Mike Tyson umenidanganya labda kama sio huyu aliyecheza IPMan 3 na Donnie yen

kwa hakika umenidanganya binti!
 
50 Cent nae kafilisika? hahaha yaani umeharibu bandiko lako mazimaa!! Una siasa hadi kwenye mambo ya kijinga sasa
Mkuu unauliza au unashangaaa?50 cent alitangaza mwenyew kuwa kafilisika,labda kama una lingine
 
Hiyo ya Mike Tyson kuosha vyombo kwenye migahawa ili kupata hela ya kulipia umeme ninahitaji chanzo makini na cha kuaminika ili niweze kuikubali.

Kwa sababu haingii akilini mtu ambaye ana cartoons zake na maonyesho yake Broadway, achilia mbali merchandise na paid appearances kibao afikie hali hiyo.

Nakataa.
 
jamaa (50) si alijideclare bankrupt????????kwene ile kesi yake ya juz kat[emoji56] [emoji56]
Anadanganya kukwepa kumlipa $6M kahaba aliyemfungulia kesi , Juzi katoa tu dola laki moja kwa taasisi ya autism marekani. Jamaa ana mpunga usiopungua $250M.
 
50 alijoke tu kufilisika, ana mpunga wa kutosha sana tu.
Hata Tyson hajawahi wala hawezi kwenda osha vyombo. Jina lake tu kutaja ni hela.

Binti msaidie baba kuchunga ngombe huko Munduli.
Huna vyanzo vyovyote vya habari wewe zaidi ya kuviziavizia JF. Nakushauri jenga tabia ya kujisomea news websites mbalimbali. Itakusaidia sana maishani mwako wewe na kizazi chako.
 
Haya kakusikia,ila tatizo ni pale anayeponda kila kitu chake leo kawa mshauri wake wa mambo ya uchumi.
 
Anadanganya kukwepa kumlipa $6M kahaba aliyemfungulia kesi , Juzi katoa tu dola laki moja kwa taasisi ya autism marekani. Jamaa ana mpunga usiopungua $250M.
ok nimekusoma..
uploadfromtaptalk1465213668381.png
 
Hiyo ya Mike Tyson kuosha vyombo kwenye migahawa ili kupata hela ya kulipia umeme ninahitaji chanzo makini na cha kuaminika ili niweze kuikubali.

Kwa sababu haingii akilini mtu ambaye ana cartoons zake na maonyesho yake Broadway, achilia mbali merchandise na paid appearances kibao afikie hali hiyo.

Nakataa.
Kwahiyo unabisha au unataka chanzo cha habari? Jifunze kupinga hoja kwa kujenga hoja. Itakusaidia sana maishani mwako wewe na kizazi chako.
 
Back
Top Bottom