Meno ya Diamond Platnums ni shs milioni 11

Meno ya Diamond Platnums ni shs milioni 11

Mike Tyson anafanyakazi ya kuosha vyombo? Au unasema yule Tyson wa Kigamboni?
 
Hebu watanzania tuacheni wivu wa kijinga yaan Diamond kufanya vitu vyote vile vya maana na bado anazidi kuwekeza kila sehemu, leo tu kuweka meno ya pesa hiyo kiduchu (kwa upande wake) ishakuwa nongwa, mleta mada inatakiwa ujue kitu kimoja, katika maisha haya usiishi kwa kukariri , Jiamini, kuwa na msimamo na unachokifanya naamin ukifanya hivyo huwezi kuwa na mawazo mgando Kama hayo, Trust me...
 
Jane, sio kila cent LAZIMA utumie kujenga au kufanya investment... maisha hayaendi hivyo! Kuna kipindi busara inashawishi ku-focus kwenye basic issues kv kujenga, kuwekeza n.k lakini inafika wakati unatakiwa kuufurahisha pia moyo wako... kutengeneza social satisfaction or else kusingekuwa na maana ya ku-work hard kutafuta pesa ikiwa pesa hizo huwezi kuzitumia kuifurahisha nafsi yako!
 
Msanii Diamond leo amefunguka kupitia kipindi cha XXL kuwa thamani ya meno yake ya bandia ya dhahabu ambayo amekuwa akionekana nayo siku za karibuni ni shs milioni 11.

My perception: Hivi wasanii wa kibongo mtajifunza lini kuwa na financial discipline? Yaani umetafuta hela kwa kujinyima ukianzia maisha magumu halafu leo mambo yamekunyookea unaanza kutumiatumia ovyovyo kama mtu usiyejielewa?

Mike Tyson kuna kipindi thamani yake ilikuwa $300m. Lakini leo hii inabidi aoshe vyombo kwenye migahawa ili apate pesa za kulipia bill ya umeme. 50 cent naye hali tete. Yuko wapi Kanda Bongoman aliyewahi kuja Tanzania na kujaza ukumbi wa Diamond Jubilee kwa kiingilio cha laki 1 tena miaka ya 90s?

Diamond ajue tu kuwa historia ina tabia ya kujirudia. Lakini ana nafasi ya kubadilika akiamua kufanya hivyo.
Mkuu Mike Tyson anaosha vyombo? Kanda Bongoman ilikua ni Kilimanjaro hotel na sio Diamond jubilee.
 
Mkuu unauliza au unashangaaa?50 cent alitangaza mwenyew kuwa kafilisika,labda kama una lingine

Man, wafanyabiashara hasa wa kimarekani wana-file bankrupcy kwasababu wanazozijua wao wenyewe ndio maana unaona lawyers wanahusika sana. Usifikiri kwamba 50 kachoka kwa mtindo wa kulala na njaa. Hata Donald Trump aliwahi ku-file bankrupcy huko miaka ya nyuma
 
Jane, sio kila cent LAZIMA utumie kujenga au kufanya investment... maisha hayaendi hivyo! Kuna kipindi busara inashawishi ku-focus kwenye basic issues kv kujenga, kuwekeza n.k lakini inafika wakati unatakiwa kuufurahisha pia moyo wako... kutengeneza social satisfaction or else kusingekuwa na maana ya ku-work hard kutafuta pesa ikiwa pesa hizo huwezi kuzitumia kuifurahisha nafsi yako!
au muulize jane kuwa waliotengeneza hizo grill alitaka wamuuzie nani?
 
Msanii Diamond leo amefunguka kupitia kipindi cha XXL kuwa thamani ya meno yake ya bandia ya dhahabu ambayo amekuwa akionekana nayo siku za karibuni ni shs milioni 11.

My perception: Hivi wasanii wa kibongo mtajifunza lini kuwa na financial discipline? Yaani umetafuta hela kwa kujinyima ukianzia maisha magumu halafu leo mambo yamekunyookea unaanza kutumiatumia ovyovyo kama mtu usiyejielewa?

Mike Tyson kuna kipindi thamani yake ilikuwa $300m. Lakini leo hii inabidi aoshe vyombo kwenye migahawa ili apate pesa za kulipia bill ya umeme. 50 cent naye hali tete. Yuko wapi Kanda Bongoman aliyewahi kuja Tanzania na kujaza ukumbi wa Diamond Jubilee kwa kiingilio cha laki 1 tena miaka ya 90s?

Diamond ajue tu kuwa historia ina tabia ya kujirudia. Lakini ana nafasi ya kubadilika akiamua kufanya hivyo.

Samahani Jane Lowassa hiyo show ya Kanda Bongoman unayoizungumza haikufanyika Diamond Jubilee bali ilikuwa ni Ukumbi wa Tanzania Room ya iliyokuwa Kilimanjaro Hotel sasa Hyatt Regency. Na ile show ilikuwa ni for corporate ingawa watu binafsi waliingia kama individual.
 
Huna vyanzo vyovyote vya habari wewe zaidi ya kuviziavizia JF. Nakushauri jenga tabia ya kujisomea news websites mbalimbali. Itakusaidia sana maishani mwako wewe na kizazi chako.
acha uongo wa hadharani kuwa na aibu bana!
 
Pesa makaratasi hasara roho tu ya muumbaji ,, ulitaka azikwe nazo izo ela nini maana ya matumizi ya pesa pesa
 
Sasa kwa nini ukamwingiza Mike Tyson?

Umekosa chanzo cha uzushi wako.
I have already removed the paragraph and replaced it with something different. Flexibility is a characteristic of intelligent people, and I am lucky to be one of such people.
 
Kila mtu ana pesa zake na matumizi yake. Tunatumia pesa nyingi tu kwa vitu visivyokuwa vya muhimu lakini kwakuwa tumeamua hakuna mtu mwenye mamlaka ya kutuhoji. Kitu cha muhimu kwako kinaweza kisiwe cha muhimu kwa mwingine and vice versa.
Jane usinidanganye huna accessories za gharama.
 
Huna vyanzo vyovyote vya habari wewe zaidi ya kuviziavizia JF. Nakushauri jenga tabia ya kujisomea news websites mbalimbali. Itakusaidia sana maishani mwako wewe na kizazi chako.
Tyson ni kweli hali yake sio mzuri sana financially compared na zamani lakini hajafikia hiyo hali uliyosema wewe!

50 Cents hajafilisika bali kwa kupitia Mwanasheria he filed for bankruptcy ili kukwepa kulipa faini ya $7m iliyotokana na ku-,post sex tape ya mzazi mwenza na Rick Ross!

Kama mfuatiliaji, three months ago akiwa mahakamani alibanwa na mahakama aeleze how come mtu aliyefilisika ana-post mlima wa US $ bills Instagram... ktk kujitetea akadai ni fake dollar bills!
 
Back
Top Bottom