Meno ya Diamond Platnums ni shs milioni 11

Meno ya Diamond Platnums ni shs milioni 11

Ana wivu sana na chuki binafs.jamaa mwenyewe hamjui wala nini. Kazi kuponda na ukimfatilia huyo Jane Lowassa hata kazi hana kutwa kuponda kila post ya msanii hanaga jela.SIMPENDIII na Ningekua admn ningeshampiga ban fala huyu
Jane anatia huruma sana... sina uhakika ikiwa Jane Lowassa ni completely new person with new ID in town (kv zamani nilikuwa siioni) au ni old person in new ID! Kama ni old person in new ID then fine for her lakini kama ni new person in new ID then am very sorry for her manake huyu Chibu atampa pressure tu... watu wame-deal na Chibu kwa angalau miaka 3 sasa na wote hao ramli yao imekuwa kifo cha Diamond ndani ya muda mfupi ujao lakini ndo kwanza jamaa anaendelea kung'aa badala ya kuporomoka!
 
Msanii Diamond leo amefunguka kupitia kipindi cha XXL kuwa thamani ya meno yake ya bandia ya dhahabu ambayo amekuwa akionekana nayo siku za karibuni ni shs milioni 11.

My perception: Hivi wasanii wa kibongo mtajifunza lini kuwa na financial discipline? Yaani umetafuta hela kwa kujinyima ukianzia maisha magumu halafu leo mambo yamekunyookea unaanza kutumiatumia ovyovyo kama mtu usiyejielewa?

Mr Nice aliwahi kuwa na hela nzuri sana miaka ya mwanzoni ya 2000, lakini kutokana na matumizi mabaya na kushindwa kuwekeza leo hii nasikia hana chochote cha maana.

Diamond ajue tu kuwa historia ina tabia ya kujirudia. Lakini ana nafasi ya kubadilika akiamua kufanya hivyo.
Ukiona hivyo ujue BANGE LILISHAANZA KUKOLEA!! SASA HIVI ATAKUWA KAMA CHUDU BENZI!! NA BINTI ALIYETOLOWA PESA NA JAKATA KUTIBIWA!!!!
 
Back
Top Bottom