Nilichokuambia ni kwamba suala la kujitosheleza halipo standard! Sio kwamba kujitosheleza kwa X ndio kwa Y, Z n.k!
That's one, second watu wengi mnachanganya mambo kwa kudhani kile unachoona wewe ndo best investment alternative na mwingine aone hivyo hivyo! Kuna mwingine hata apate mamilioni mangapi hawezi ku-invest kwenye biashara lakini ata-opt kununua viwanja au nyumba! Kinyume chake, mwingine ataamua kuuza nyumba yake ili afanye biashara! Hapo hakuna aliye bora kumzidi mwenzake... ni suala tu la nini yeye anaona ni muafaka kwake! Sasa unless kama unafahamu shughuli zote za Diamond vinginevyo utakuwa very wrong kudai badala ya kuwekeza ananunua meno ya bandia ya mamilioni!
In addition, the guy is musician anayelipwa kwa show! Sasa kama ulikuwa unaota kutaka kutoa offer ya 10 Million kwa show; unagundua mdomoni kaweka mamilioni!! Hapo hapo unajua huyu sio cheap musician! By the way, ikiwa aliweka gold plated sinks washroom nini kinakushangaza kuweka meno?