Meno ya Diamond Platnums ni shs milioni 11

Meno ya Diamond Platnums ni shs milioni 11

Nilichokuambia ni kwamba suala la kujitosheleza halipo standard! Sio kwamba kujitosheleza kwa X ndio kwa Y, Z n.k!

That's one, second watu wengi mnachanganya mambo kwa kudhani kile unachoona wewe ndo best investment alternative na mwingine aone hivyo hivyo! Kuna mwingine hata apate mamilioni mangapi hawezi ku-invest kwenye biashara lakini ata-opt kununua viwanja au nyumba! Kinyume chake, mwingine ataamua kuuza nyumba yake ili afanye biashara! Hapo hakuna aliye bora kumzidi mwenzake... ni suala tu la nini yeye anaona ni muafaka kwake! Sasa unless kama unafahamu shughuli zote za Diamond vinginevyo utakuwa very wrong kudai badala ya kuwekeza ananunua meno ya bandia ya mamilioni!

In addition, the guy is musician anayelipwa kwa show! Sasa kama ulikuwa unaota kutaka kutoa offer ya 10 Million kwa show; unagundua mdomoni kaweka mamilioni!! Hapo hapo unajua huyu sio cheap musician! By the way, ikiwa aliweka gold plated sinks washroom nini kinakushangaza kuweka meno?
Kama na hapa asipokuelewa ndo bhass tena..
 
WCB leo imetoa madawati 600! Thamani ya madawati haya ni kubwa maradufu kuliko thamani ya hayo meno! Sasa ikiwa ameweza kutumia mamilioni yote hayo kusaidia mchango wa madawati kwanini aache kutumia kiasi kingine kufurahisha nafsi yake?!
Tena kwa kumsaidia tu mleta hoja yale madawati ni Mil 42, so hivi unafikiri Diamond ana washauri wa mambo ya kiuchumi au anakurupuka tu?
 
Kabisa, yaani wanataka uishi kama wao wakati wenyewe hawana uhakika hata wa maisha , yaani wapo full kukosoa kwa kila jambo
Huu ni ushauri wa bure tu. Sasa kama hataki kuuchukua mbona poa tu. Ila akifilisika asianze kutuomba lift.
 
Hivi wajuvi kuna tofauti gani kati ya bankruty na insolvency?
bamkruptcy-firm or person fails to repay the debts owed to cteditors
insolvency- firm or individual fails to meets its financial obligations
 
Inaongezeka lakini itafikia kipindi atakwama
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe ulitaka kila mtu aseme Ameni kwenye hii thread yako kama yuko vile kanisani...[emoji2] [emoji2] [emoji2]

ona sasa ulivyoishiwa hoja unaanza kuandika utumbo sasa
 
Tena kwa kumsaidia tu mleta hoja yale madawati ni Mil 42, so hivi unafikiri Diamond ana washauri wa mambo ya kiuchumi au anakurupuka tu?
Huyu Jane Lowassa anam-underestimate Diamond bila kufahamu kwamba the guy is very smart na ndio maana tangu aanze kutabiriwa ataanguka angekuwa keshapotea hivi sasa lakini ndo kwanza graph yake inaendelea kupanda!
 
Huu ni ushauri wa bure tu. Sasa kama hataki kuuchukua mbona poa tu. Ila akifilisika asianze kutuomba lift.
Jane; yaani afilisike kwa ajili ya meno ya 11M au kv hafanyi investment zile unazoziona wewe muafaka?!
 
Nilichokuambia ni kwamba suala la kujitosheleza halipo standard! Sio kwamba kujitosheleza kwa X ndio kwa Y, Z n.k!

That's one, second watu wengi mnachanganya mambo kwa kudhani kile unachoona wewe ndo best investment alternative na mwingine aone hivyo hivyo! Kuna mwingine hata apate mamilioni mangapi hawezi ku-invest kwenye biashara lakini ata-opt kununua viwanja au nyumba! Kinyume chake, mwingine ataamua kuuza nyumba yake ili afanye biashara! Hapo hakuna aliye bora kumzidi mwenzake... ni suala tu la nini yeye anaona ni muafaka kwake! Sasa unless kama unafahamu shughuli zote za Diamond vinginevyo utakuwa very wrong kudai badala ya kuwekeza ananunua meno ya bandia ya mamilioni!

In addition, the guy is musician anayelipwa kwa show! Sasa kama ulikuwa unaota kutaka kutoa offer ya 10 Million kwa show; unagundua mdomoni kaweka mamilioni!! Hapo hapo unajua huyu sio cheap musician! By the way, ikiwa aliweka gold plated sinks washroom nini kinakushangaza kuweka meno?
Kwanza asichokijua mleta uzi ni kwamba hata aliyemwekea Mheshimiwa De Monde meno ya Gold naye ni mwekezaji na perhaps anaweza kumwona kwamba hana nidhamu ya uwekezaji kwa kuwekeza kwenye aina hii ya biashara!
 
Kabisa ndio maana nilisema ni business strategy, Diamond ni Icon Africa na hivyo watu wengi watataka kuweka yale meno na hii ndio biashara zinavyokwenda
 
Inaongezeka lakini itafikia kipindi atakwama
Pole sana kwa Mr. Nice, Je mama unajua Diamond anainvestments ngapi?na hizo investments zake zina thamani gani?Ukishajua thamani ya investment na hela zake then toa mil 11 you will be in a position ya kudge mama, ili hoja yako iwe na mizania nzuri ungefanya cost benefit analysis then ungeonekana umetoa hoja nzuri, hiyo mil 11 inaweza ikawa kama elfu kumi kwako mama unaweza kunijibu hii mama au unatumia habari za Saluni?
 
Huu ni ushauri wa bure tu. Sasa kama hataki kuuchukua mbona poa tu. Ila akifilisika asianze kutuomba lift.
Unapotaka kutoa ushauri lazima umjue unayempa ushauri wako na ushauri wako ni lazima uwe wa Kisayansi na si wa kimajungu na ndio maana nikakuuliza narudia tena "Pole sana kwa Mr. Nice, Je mama unajua Diamond anainvestments ngapi?na hizo investments zake zina thamani gani?Ukishajua thamani ya investment na hela zake then toa mil 11 you will be in a position ya kudge mama, ili hoja yako iwe na mizania nzuri ungefanya cost benefit analysis then ungeonekana umetoa hoja nzuri, hiyo mil 11 inaweza ikawa kama elfu kumi kwako mama"unazijua investment zote za Diamond?Je hiyo 11m ina effect gani kwenye investments zake? Otherwise mama huo ni umbea tu wa saloon na wewe jitahidi uongeze Saloon nyingi tu
 
Binti una uwezo wa kubishana na radio. Hongera.
 
Diamond Kwa account hakosi Billion 2 so ukitoa hivyo tumilion 11 bado sanaaa
 
Back
Top Bottom