New Nytemare
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 3,333
- 2,484
mi sishangai boss analipia...siunajua dogo kalipiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo unabisha au unataka chanzo cha habari? Jifunze kupinga hoja kwa kujenga hoja. Itakusaidia sana maishani mwako wewe na kizazi chako.
Mkuu Mike Tyson anaosha vyombo? Kanda Bongoman ilikua ni Kilimanjaro hotel na sio Diamond jubilee.Msanii Diamond leo amefunguka kupitia kipindi cha XXL kuwa thamani ya meno yake ya bandia ya dhahabu ambayo amekuwa akionekana nayo siku za karibuni ni shs milioni 11.
My perception: Hivi wasanii wa kibongo mtajifunza lini kuwa na financial discipline? Yaani umetafuta hela kwa kujinyima ukianzia maisha magumu halafu leo mambo yamekunyookea unaanza kutumiatumia ovyovyo kama mtu usiyejielewa?
Mike Tyson kuna kipindi thamani yake ilikuwa $300m. Lakini leo hii inabidi aoshe vyombo kwenye migahawa ili apate pesa za kulipia bill ya umeme. 50 cent naye hali tete. Yuko wapi Kanda Bongoman aliyewahi kuja Tanzania na kujaza ukumbi wa Diamond Jubilee kwa kiingilio cha laki 1 tena miaka ya 90s?
Diamond ajue tu kuwa historia ina tabia ya kujirudia. Lakini ana nafasi ya kubadilika akiamua kufanya hivyo.
kweli aisee,kama hatukumshauri kutafuta hatuna budi kukaa kimya sio vyema kabisa kujidai tunamshauri namna ya kutumia...atajijua mwenyewe na pesa zake
Mkuu unauliza au unashangaaa?50 cent alitangaza mwenyew kuwa kafilisika,labda kama una lingine
au muulize jane kuwa waliotengeneza hizo grill alitaka wamuuzie nani?Jane, sio kila cent LAZIMA utumie kujenga au kufanya investment... maisha hayaendi hivyo! Kuna kipindi busara inashawishi ku-focus kwenye basic issues kv kujenga, kuwekeza n.k lakini inafika wakati unatakiwa kuufurahisha pia moyo wako... kutengeneza social satisfaction or else kusingekuwa na maana ya ku-work hard kutafuta pesa ikiwa pesa hizo huwezi kuzitumia kuifurahisha nafsi yako!
Msanii Diamond leo amefunguka kupitia kipindi cha XXL kuwa thamani ya meno yake ya bandia ya dhahabu ambayo amekuwa akionekana nayo siku za karibuni ni shs milioni 11.
My perception: Hivi wasanii wa kibongo mtajifunza lini kuwa na financial discipline? Yaani umetafuta hela kwa kujinyima ukianzia maisha magumu halafu leo mambo yamekunyookea unaanza kutumiatumia ovyovyo kama mtu usiyejielewa?
Mike Tyson kuna kipindi thamani yake ilikuwa $300m. Lakini leo hii inabidi aoshe vyombo kwenye migahawa ili apate pesa za kulipia bill ya umeme. 50 cent naye hali tete. Yuko wapi Kanda Bongoman aliyewahi kuja Tanzania na kujaza ukumbi wa Diamond Jubilee kwa kiingilio cha laki 1 tena miaka ya 90s?
Diamond ajue tu kuwa historia ina tabia ya kujirudia. Lakini ana nafasi ya kubadilika akiamua kufanya hivyo.
acha uongo wa hadharani kuwa na aibu bana!Huna vyanzo vyovyote vya habari wewe zaidi ya kuviziavizia JF. Nakushauri jenga tabia ya kujisomea news websites mbalimbali. Itakusaidia sana maishani mwako wewe na kizazi chako.
Halafu mada hii inazungumzia DiamondKwanza napinga.
Lakini wewe kama hujazusha na una chanzo cha hiyo habari basi kiweke hapa.
Halafu mada hii inazungumzia Diamond
I have already removed the paragraph and replaced it with something different. Flexibility is a characteristic of intelligent people, and I am lucky to be one of such people.Sasa kwa nini ukamwingiza Mike Tyson?
Umekosa chanzo cha uzushi wako.
Tyson ni kweli hali yake sio mzuri sana financially compared na zamani lakini hajafikia hiyo hali uliyosema wewe!Huna vyanzo vyovyote vya habari wewe zaidi ya kuviziavizia JF. Nakushauri jenga tabia ya kujisomea news websites mbalimbali. Itakusaidia sana maishani mwako wewe na kizazi chako.
Haya, natekeleza: c.c Jane Lowassaau muulize jane kuwa waliotengeneza hizo grill alitaka wamuuzie nani?