Meno ya mtoto kuoteana

Meno ya mtoto kuoteana

kimpango

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2011
Posts
600
Reaction score
717
Wakuu habari nina mtoto wangu ana miaka sita sasa meno yake yakiwa madogo yalianza kuharibika na kukatika na ya mbele ya juu yalikatika kabisa kwenye ncha ,,,,sasa moja wapo likang'oka na kuota vizuri tatizo lingine halijango'oka na limeanza kuota lingine nyuma yake naombeni msaada ni jino la mbele la juuu.
 
Ngoja waje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inashauriwa mtoto akianza kutoa jino la kwanza uanze kumpigisha mswaki, miaka mitatu aanze kumwona dentist na ufanye utaratibu wah up mpaka milk teeth zinapomalizika unaanza kumpeleka kila baada ya miezi sita kwa check up
 
Inashauriwa mtoto akianza kutoa jino la kwanza uanze kumpigisha mswaki, miaka mitatu amaze kumwona dentist na ufanye utaratibu wah up mpaka milk teeth zinapomalizika unaanza kumpeleka kila baada ya miezi sita kwa check up
MKUU nishachemka nafanyaje kuanzia hapo kajino nimekaona asubuhi leo akiwa anajiandaa kwenda shule
 
Inashauriwa mtoto akianza kutoa jino la kwanza uanze kumpigisha mswaki, miaka mitatu aanze kumwona dentist na ufanye utaratibu wah up mpaka milk teeth zinapomalizika unaanza kumpeleka kila baada ya miezi sita kwa check up
kweli kabisa aisee
 
ok miss kwa hapa dar wapi napata specialist wa meno wa uhakika kwa bei ya kawaida?
Mkuu bei za meno zipo juu mkuu.. jipange ..hii njia ya mikocheni zipo kama mbili. Me niliwashindwa lakini root canal mpaka laki mbili ... nikaenda moja kinondoni moroco wakafanya kwa laki...
 
thanks aisee ila uzembe umenicost...labda mama yake angekuwepo angenisaidia kumuangalia
 
Back
Top Bottom