Kwani Ukimuacha hivyo atapata effect Gani au Ujinsi wa Kike utapotea au kuna nini..... Hizi mambo za Kupingana naMungu huwa sizielewi hasa Mtoto akiwa wa Kike.....
- Kuchonga Meno..
- Kusafisha Meno- Wachaga na Wasingida Poleni
- Kuongeza kucha
- Kutoa Nyusi
- Vipini Kitovuni, Puani, Kopeni, Ulimini nkt
Niambieni kasoro za hizo zina madhara gani.[/QUOTE
MKUU elewa sio kitu cha kawaida jino kuota kenye fiz ndani wakati lingine halijatoka ...sio kupingana na mungu bali maarifa tuliyonayo /tuliyopewa na mungu yatuongoze ..kwa mfano nahis kwako wewe ni sawa kwa watoto waliozaliwa wameungana waachwe hivyo hivyo au mtoto aliyezaliwa bila njia ya haja asifanyiwe upasuaji panapowezekana....ni samehe kwangu mimi mtotio wangu kuwa na mwonekano mzuri ni kitu cha kwanza kwani kinampa confidence... bt the same MUNGU NIMWAMINIE ANASEMA WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA ..........