Meno ya mtoto kuoteana

Meno ya mtoto kuoteana

acha tu ni story ndefu ..itanifanya nianze toa machoz i thnk nitakuja kushare nanyi one day hapa jukwaani
ngoja kwanza nideal na afya ya hii sura yake
Siku hiyo uniite sababu ni kazi sana kulea baba peke yake . Pole
 
Kwani Ukimuacha hivyo atapata effect Gani au Ujinsi wa Kike utapotea au kuna nini..... Hizi mambo za Kupingana naMungu huwa sizielewi hasa Mtoto akiwa wa Kike.....

  • Kuchonga Meno..
  • Kusafisha Meno- Wachaga na Wasingida Poleni
  • Kuongeza kucha
  • Kutoa Nyusi
  • Vipini Kitovuni, Puani, Kopeni, Ulimini nkt

Niambieni kasoro za hizo zina madhara gani.
 
Niambieni kasoro za hizo zina madhara gani.[/QUOTE
MKUU elewa sio kitu cha kawaida jino kuota kenye fiz ndani wakati lingine halijatoka ...sio kupingana na mungu bali maarifa tuliyonayo /tuliyopewa na mungu yatuongoze ..kwa mfano nahis kwako wewe ni sawa kwa watoto waliozaliwa wameungana waachwe hivyo hivyo au mtoto aliyezaliwa bila njia ya haja asifanyiwe upasuaji panapowezekana....ni samehe kwangu mimi mtotio wangu kuwa na mwonekano mzuri ni kitu cha kwanza kwani kinampa confidence... bt the same MUNGU NIMWAMINIE ANASEMA WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA ..........
 
Pole sana...mm mwanangu kuna jino lilianza kuoteana nikaenda kwa dentist wakatoa tangu hapo hamna tatizo hilo tena mwaka wa 3 huu
 
Kwani Ukimuacha hivyo atapata effect Gani au Ujinsi wa Kike utapotea au kuna nini..... Hizi mambo za Kupingana naMungu huwa sizielewi hasa Mtoto akiwa wa Kike.....

  • Kuchonga Meno..
  • Kusafisha Meno- Wachaga na Wasingida Poleni
  • Kuongeza kucha
  • Kutoa Nyusi
  • Vipini Kitovuni, Puani, Kopeni, Ulimini nkt

Niambieni kasoro za hizo zina madhara gani.
Sasa hapo kapingana na Mungu kiaje? Umetaja mambo ambayo hata hayapo kwenye mada
Mungu hakumuumba na meno yaliyooteana hivyo kuyatoa sio dhambi

Small minded people won't understand
 
Kuna waya anavalishwa unayanyoosha
Fixed%20Braces%20(CMYK).jpg
 
Izo orthodontic appliance zinaekwa kwa watoto weny umri wa miaka 15 kupanda juu akiwa na meno yameota vibaya na sio miaka 5 adi 14 around apo mtt anakua na mixed dentition (mchanganyiko meno ya utoto na utu uzima) so nikungoa kwanza ilo lililolika ilo litarudi kwenye sehem yake ndani ya wik 3

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Ukimuacha hivyo atapata effect Gani au Ujinsi wa Kike utapotea au kuna nini..... Hizi mambo za Kupingana naMungu huwa sizielewi hasa Mtoto akiwa wa Kike.....

  • Kuchonga Meno..
  • Kusafisha Meno- Wachaga na Wasingida Poleni
  • Kuongeza kucha
  • Kutoa Nyusi
  • Vipini Kitovuni, Puani, Kopeni, Ulimini nkt

Niambieni kasoro za hizo zina madhara gani.
Jino jipya kuota kabla ya kuondoa jino la zamani ni sahihi?

love thé love or hâte thé love.....
 
Mkuu bei za meno zipo juu mkuu.. jipange ..hii njia ya mikocheni zipo kama mbili. Me niliwashindwa lakini root canal mpaka laki mbili ... nikaenda moja kinondoni moroco wakafanya kwa laki...
Jaman mtt wa miaka 6 root canal haiwezi kufanyika hata siku 1 iyo nikwa watuwazima yani permanent dentition apo nikung'oa ndio treatment of choice apo elf 20 tuuu kwa dar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom