kimpango
JF-Expert Member
- Apr 24, 2011
- 600
- 717
Wakuu habari nina mtoto wangu ana miaka sita sasa meno yake yakiwa madogo yalianza kuharibika na kukatika na ya mbele ya juu yalikatika kabisa kwenye ncha ,,,,sasa moja wapo likang'oka na kuota vizuri tatizo lingine halijango'oka na limeanza kuota lingine nyuma yake naombeni msaada ni jino la mbele la juuu.