Ngoja wajeWakuu habari nina mtoto wangu ana miaka sita sasa meno yake yakiwa madogo yalianza kuharibika na kukatika na ya mbele ya juu yalikatika kabisa kwenye ncha ,,,,sasa moja wapo likang'oka na kuota vizuri tatizo lingine halijango'oka na limeanza kuota lingine nyuma yake naombeni msaada ni jino la mbele la juuu.
MKUU nishachemka nafanyaje kuanzia hapo kajino nimekaona asubuhi leo akiwa anajiandaa kwenda shuleInashauriwa mtoto akianza kutoa jino la kwanza uanze kumpigisha mswaki, miaka mitatu amaze kumwona dentist na ufanye utaratibu wah up mpaka milk teeth zinapomalizika unaanza kumpeleka kila baada ya miezi sita kwa check up
kweli kabisa aiseeInashauriwa mtoto akianza kutoa jino la kwanza uanze kumpigisha mswaki, miaka mitatu aanze kumwona dentist na ufanye utaratibu wah up mpaka milk teeth zinapomalizika unaanza kumpeleka kila baada ya miezi sita kwa check up
Wahini kwa dentistMKUU nishachemka nafanyaje kuanzia hapo kajino nimekaona asubuhi leo akiwa anajiandaa kwenda shule
Kuna waya anavalishwa unayanyooshaok bt kuna uwezekano wa kulinyoosha?du she is my only daughter eti!!!
Unaitwa bralmaskini waya tenaaa
anza Muhimbiliok miss kwa hapa dar wapi napata specialist wa meno wa uhakika kwa bei ya kawaida?
Mkuu bei za meno zipo juu mkuu.. jipange ..hii njia ya mikocheni zipo kama mbili. Me niliwashindwa lakini root canal mpaka laki mbili ... nikaenda moja kinondoni moroco wakafanya kwa laki...ok miss kwa hapa dar wapi napata specialist wa meno wa uhakika kwa bei ya kawaida?
Kwamtogole utapata kwa 50,000Mkuu bei za meno zipo juu mkuu.. jipange ..hii njia ya mikocheni zipo kama mbili. Me niliwashindwa lakini root canal mpaka laki mbili ... nikaenda moja kinondoni moroco wakafanya kwa laki...
thanks aisee ila uzembe umenicost...labda mama yake angekuwepo angenisaidia kumuangaliaMkuu bei za meno zipo juu mkuu.. jipange ..hii njia ya mikocheni zipo kama mbili. Me niliwashindwa lakini root canal mpaka laki mbili ... nikaenda moja kinondoni moroco wakafanya kwa laki...
Mama yake umempeleka wapi?thanks aisee ila uzembe umenicost...labda mama yake angekuwepo angenisaidia kumuangalia
Ningejua ningeenda huko aiseeKwamtogole utapata kwa 50,000
Foleni paleUnaitwa bral
anza Muhimbili