miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
sawa mkuuJaman mtt wa miaka 6 root canal haiwezi kufanyika hata siku 1 iyo nikwa watuwazima yani permanent dentition apo nikung'oa ndio treatment of choice apo elf 20 tuuu kwa dar
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemuuliza huyo anayesema ni uumbaji wa MunguNi sahihi kam la utoto alita legea nakutolewa mapema ikitokea ivyo likatolewe ospitali au kwa dentist yyte karb
Sent using Jamii Forums mobile app
PrimitiveKwani Ukimuacha hivyo atapata effect Gani au Ujinsi wa Kike utapotea au kuna nini..... Hizi mambo za Kupingana naMungu huwa sizielewi hasa Mtoto akiwa wa Kike.....
- Kuchonga Meno..
- Kusafisha Meno- Wachaga na Wasingida Poleni
- Kuongeza kucha
- Kutoa Nyusi
- Vipini Kitovuni, Puani, Kopeni, Ulimini nkt
Niambieni kasoro za hizo zina madhara gani.