Meno ya mtoto kuoteana

Meno ya mtoto kuoteana

Me nlikua na hayo matatizo ya ndenda kwetu tunayaita..sijawahi ng'oa meno kienyeji meno yote nimeng'olea hospitali..sababu yalikua hayasubiri ya zamani yatoke yenyewe yanaoteana tu.

Hapo mzazi unafumba macho lazma meno yang'olewe...yaan linatolewa la zamani ili jipya likae Sawa..
 
Kwani Ukimuacha hivyo atapata effect Gani au Ujinsi wa Kike utapotea au kuna nini..... Hizi mambo za Kupingana naMungu huwa sizielewi hasa Mtoto akiwa wa Kike.....

  • Kuchonga Meno..
  • Kusafisha Meno- Wachaga na Wasingida Poleni
  • Kuongeza kucha
  • Kutoa Nyusi
  • Vipini Kitovuni, Puani, Kopeni, Ulimini nkt

Niambieni kasoro za hizo zina madhara gani.
Primitive
 
Back
Top Bottom