Meno ya tembo mtaji

Meno ya tembo mtaji

Vujole

Member
Joined
Apr 3, 2013
Posts
33
Reaction score
22
Natoa rai kuwa serikali iwakate pembe tembo wetu wote, kama ambavyo ng'ombe hukatwa zihifadhiwe na serikali.

1. Kwa namna hiyo tutaweza kuhifadhi uzao wao, maana hawatawindwa tena na majangili.

2. Serikali Izitumie kama bond kupata mitaji ya shughuli za uzalishaji.

TUJADILIANE!!
 
Kama hawafi naunga mkono hoja mkuu. Ni wazo la mbolea sana tu.
 
Natoa rai kuwa serikali iwakate pembe tembo wetu wote, kama ambavyo ng'ombe hukatwa zihifadhiwe na serikali.

1. Kwa namna hiyo tutaweza kuhifadhi uzao wao, maana hawatawindwa tena na majangili.

2. Serikali Izitumie kama bond kupata mitaji ya shughuli za uzalishaji.

TUJADILIANE!!

Ungepewa wewe tenda hiyo, ungefanyaje? Ungetumia tekinolojia ipi?
 
Most likely wataathirika. Kwa sababu hizo pembe wanatumia kwa kujilinda na wakati mwingine kukwangua magome ya miti kwa lengo la kupata chakula. Ni kama wewe ukikatwa mikono yote miwili.
 
kwanini wasizuie bidhaa zinazotengenezwa na meno ya tembo duniani, huwa nashangaa sana
 
Ungepewa wewe tenda hiyo, ungefanyaje? Ungetumia tekinolojia ipi?

Mkuu usiiumize kichwa bure teknolojia ipo rahisi sana kama wakiamua ingawaje siungi mkono hoja!! Iko iv kuna risasi za sindano ndani ya kuna dawa ya usingizi/kulewesha ambayo mnyama akpgwa ndani ya sekunde 25 anasinzia na anaweza kuja kuzinduka ndani ya masaa 5!! Hiyo niliona Animal planet Tv kuna msitu fulani ulaya kuna wanyama fulani ni wakali Afrika hawapo hao watafiti walikuwa wanazunguka na helkopta na kuwasogelea karbu kisha wanawapga risasi then wanawapakia kwenye helkopita baada ya kuwa wamesinzia!!
 
Hao watafiti wapo Tanzania? Au ndiyo tuandae bajeti ya kuwalipa wazungu? Au tuombe mkopo benki ya dunia?
 
Kha! Wakati unamkata na yeye katilia tu? Kama vile mtu anatahiriwa????
 
Kha! Wakati unamkata na yeye katilia tu? Kama vile mtu anatahiriwa????

Tekinolojia ya kurusha ndege/plane angani ni ngumu sana kuliko hicho kitendo cha kuvuna pembe za ndovu!! Kwa unachokiamini kama binadamu kumkata wembe ni shughuli kwanini hushangai watu wanapasuliwa tumbo/operation kirahisi tu?
 
Katika hii thread nimegundua watu wengi wakikutana na kikwazo kidogo mchezo ndo unaishia hapo! Hawana njia mbadala ya kusolve tatizo!!
 
Hao watafiti wapo Tanzania? Au ndiyo tuandae bajeti ya kuwalipa wazungu? Au tuombe mkopo benki ya dunia?

Mkuu hao watafiti nimewaongelea kama reference tu. Yani ukikabidhiwa hizo zana za kazi hata wewe unamalza mchezo!!
 
Hata kutahiriwa ishu!! Labda kama wewe ulipatia hospitali, ila kama ya kwetu .................. subutu!!

Tembo tunawahitaji bado, na mchezo ndio huu. Gharama ya kuzuia vidani na bidhaa zote za pembe za ndovu ni afadhali kuwakata pembe kama ng'ombe. Kwamba wataathirika ni kweli, ila hawatakufa na pia haita wazuia kuzaana. Kanuni ya "opportunity cost" inaelekea ingekuwa faida kwa namna hiyo kuliko kuambiwa tukaokote mizoga.
 
Back
Top Bottom