SirAlfred006
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 517
- 1,243
Dawa ya jino ni kuling'oa. Hakuna dawa nyingine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeh mijino mikubwa hyo kama ya naniii.Dawa ya jino ni kuling'oa. Hakuna dawa nyingine. View attachment 2523183
Dawa ya jino ni kuling'oa. Hakuna dawa nyingine. View attachment 2523183
Molars lazima ziwe hivyo.Eeh mijino mikubwa hyo kama ya naniii.
Lkn pole sana.
Hata akizingatia yafaa nini wakati meno ya kutafunia ndo hayo yamelala yoo?Pole mkuu jitahidi sana kuzingatia usafi wa kinywa , tumia dawa za meno bora zilizothibitishwa kitaalamu, epuka sukari sukari, safisha kinywa walau mara mbili kwa siku yaani asubuhi na jioni, badilisha miswaki walau kila wiki mbili, zingatia vyakula vinavoimarisha afya ya meno pia
[emoji23][emoji23][emoji23]Hata akizingatia yafaa nini wakati meno ya kutafunia ndo hayo yamelala yoo?
Huyo sasa hv ukitaka mpigane mpe ufuta atafune uone
Myth tu hioHapo si suluhisho, mdudu ataamia kwenye jino lingine