MAJIYAPWANI
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 1,726
- 2,691
Ndo nini hiyo tyu mkuu?Nakereka na hii hali bhax tyu
Nakereka na hii hali bhax tyu
ohoooNakereka na hii hali bhax tyu
mkuu napulizwa na kiyoyozi nikiwa naingiza data tu ila hilo linafanyika asubuh na jioni ila mchana mchaka mchakMkuu upo ofisini unapulizwa na kiyoyozi halafu kmazi zako niza kupigana na spana
hahahaha kwa hiyo niwe mchafu au sioKwa upeo wangu nadhan tatizo litakuwa ni huo UTANASHATI ukipunguza hapo tatizo kwisha kabisa...iliwahi nitokea nikatumia njia hiyo
ziMkuu upo ofisini unapulizwa na kiyoyozi halafu kmazi zako niza kupigana na spana
barid ya a.c ikizid kidgo nasikia gaziUnazurura na Spana, AC unakuwa umeimeza??? AC inakupulizaje mdomoni?....