Meno yangu yanapata ganzi hata nikipulizwa na a/c tu

Meno yangu yanapata ganzi hata nikipulizwa na a/c tu

MAJIYAPWANI

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2017
Posts
1,726
Reaction score
2,691
Mimi kijana mtanashati nina miaka 23 sasa hvi ila nina tatizo limeanza lina km siku tano au sita meno yangu yanapata ganzi hata nikipulizwa na a.c tu ya ofisin napatwa na ganzi hata juice ya baridi ya wastani nashindwa kunywa hata upepo wa feni ukinipiga napatwa na ganzi mpka nashindwa kufanya kazi vzuri afu kazi zangu za mshike muda wote nazurura na spana ili mkono uwende kinywani.

Nawasilisha!!
 
Unazurura na Spana, AC unakuwa umeimeza??? AC inakupulizaje mdomoni?....
 
Kwa upeo wangu nadhan tatizo litakuwa ni huo UTANASHATI ukipunguza hapo tatizo kwisha kabisa...iliwahi nitokea nikatumia njia hiyo
 
yeap kiyoyo
Mkuu upo ofisini unapulizwa na kiyoyozi halafu kmazi zako niza kupigana na spana
zi
yeap yani kazini kiyoyozi kipo kantini ofisi kuu napokuwaga najaza data za kazi zangu za siku nina kompyuta yangu nkimaliza naingia kazi kazini ila kiyoyozi napulizwa mda wa asubuh mda wa kula mchana bhax
 
Back
Top Bottom