MAJIYAPWANI
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 1,726
- 2,691
Mimi kijana mtanashati nina miaka 23 sasa hvi ila nina tatizo limeanza lina km siku tano au sita meno yangu yanapata ganzi hata nikipulizwa na a.c tu ya ofisin napatwa na ganzi hata juice ya baridi ya wastani nashindwa kunywa hata upepo wa feni ukinipiga napatwa na ganzi mpka nashindwa kufanya kazi vzuri afu kazi zangu za mshike muda wote nazurura na spana ili mkono uwende kinywani.
Nawasilisha!!
Nawasilisha!!