Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,012
- 23,633
Kumbe hii TECHNO huwa inanishusha sio??!! Maanake kwenye kiatu,cologne nina uhakika.Kiatu,Saa,Simu na Pafyum hua vinasema wewe ni mwanaume wa aina gani...
Mmmmh! Bwana semegi sio tekino tu!!Kumbe hii TECHNO huwa inanishusha sio??!! Maanake kwenye kiatu,cologne nina uhakika.
Kumbe hii TECHNO huwa inanishusha sio??!! Maanake kwenye kiatu,cologne nina uhakika.
Drop your expertise, and help another brother get his style and grace together in this fashionable world we live in.
DOs
..Vaa viatu visafi kila mara. Attention unayovipa viatu vyako inaelezea unavyojithamini.
..Vaa nguo zinazokutosha sawia. Sio za kubana sana, wala zisiwe kubwa mno.
..Oga na jali usafi bro. Usafi ni afya.
DONTs
..Usichomekee kamwe kama mkanda haufanani na rangi ya kiatu chako.
..Usivae suti na huna usafiri, hata wa kukodi. Utachoreka tu.
..Usijichubue kamwe.
Karibuni.
Lakini nadhani mkanda mweusi ni multi-purpose; unaweza kuvaliwa na viatu vya rangi mbalimbali. Ila ukivaa mkanda wa brown basi utapendeza na viatu vya brown pia. Mtazamo wangu tu.Duh, wazee wa kumiliki mkanda mmoja noma.
Kwanini? Kuna ubaya gani wa kifasheni vikifafana? Yaani nikivaa viatu vyeusi na soksi nyeusi kuna kosa gani hapo?Rangi ya viatu na soksi zisifanane
Rangi ya viatu na soksi zisifanane
Aisee, kumeibuka tabia siku hizi ya kuvaa nguo za kubana! Sijui imesababishwa na nini?!? Wachezaji wa NBA walikuwa hawana tabia za kuvaa nguo za kubana na matisheti kama ya kike. Lakini siku hizi wakiongozwa na Westbrook ndiyo imekuwa fasheni.DOs
..Vaa nguo zinazokutosha sawia. Sio za kubana sana, wala zisiwe kubwa mno..
Ndiyo maana mimi nikiwa nanunua jeans uwa napendelea straight au regular. Hizo slim nawaachia wazungu! Nikiona mtu mweusi ndani ya slim, nafsi yangu inasononeka.
Hizo wacha zinipite tu...mimi siyo mtu trendy...bado navaa kama mtu wa late 1990s na early to late 2000s. Nitatupia jeans langu la Levi's, Old Navy ama Wrangler ni yote hayo ni lazima yawe straight or regular na siyo loose sana.Skinny jeans ndo ziko in vogue sasa hivi....hahahaaa.
Sijawahi kuona, kwa mfano tu, Balmain jeans za kiume zilizo loose fit.