Sasa hiyo ina tofauti gani na ile niliyoiweka mimi? Huoni zote zilivyo kubwa kubwa?
Ni hivi, kila label ina vipimo vyake [kama unalijua hilo].
Kwa Levi's, line ya 505 ndo regular fit. Na nimekuwekea tovuti yao uingie uone mwenyewe...usije ukasema nimetunga.
Ile picha ya awali ya Levi's baggy, ni baggy jeans kweli. Regular fits hazinaga nafasi kubwa vile.
Bado unakataa kwamba line ya 505 ya Levi's siyo regular fit?
Hata ukienda kwenye maduka yanayouza Levi's 505 huwa huwa zinawekwa kwenye sehemu ya regular fits na hata ukisoma label zake zinasema kabisa kuwa ni regular fits.