Men's Fashion: DOs and DONTs

NI KUJISUMBUA TU. AFTER ALL NI MADHARA GANI MTU ANAPATA ASIPO MECHISHA NGUO? WE HAVE A LOT TO DO INSTEAD OF WASTING TIME KUMECHISHA.
Kama ni hvyo kwenye hii thread unafanya nn??
 
Ahaaa kwahio kwenye uzuri bei doesnt matter ni vile mvaaji anavyokiona? Huoni ni contradiction na statement yako 'vaa saa ya 50k na kuendelea sio ya buku tatu'?
No mkuu there must be a standard regardless umependa au hujakipenda ww mvaaji au regardlesa ya bei yake
 
Mkanda sio sana mkuu maana sio wakati tunachomekea...
Blv me when i tell u mkanda matters the most
Sio lazima.uonekane but u have to be care about mkanda na rules za uvaaji wake
 
Ngoja niu update huu uzi ili wengine nao wafaidike
 
Nimekuita hapa ili nawewe angalau upanue uelewa au uchangie mawili matatu
Mchango wangu ni huo uzi niliowaletea
Sina cha zaidi.......tuonane uko km una swali
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…