Men's Fashion: DOs and DONTs

Men's Fashion: DOs and DONTs

Na kucha ziwe safi.

Perfume kusema kweli ina matter pia kwa wanaume kama vile kiatu, mkanda na saa, iwe ya bei nzuri halafu.
 
Ukisema 50k inaonekana nyingi. Ila ukiiweka kwenye $$ utaona huwezi kupata saa nzuri kwahio hela.
Ndio maana mwanzo nimekuambia inategemea wewe mwenyewe wa bei gani...ni sawa na mtu atakwambia hakuna kiatu kizuri cha 50k wakati mi nikivaa cha 25 roho kwatuuu
 
Ndio maana mwanzo nimekuambia inategemea wewe mwenyewe wa bei gani...ni sawa na mtu atakwambia hakuna kiatu kizuri cha 50k wakati mi nikivaa cha 25 roho kwatuuu
Kuwa roho kwatu haina maana ni kizuri. Kuna watu kama ulivyosema wanavaa saa ya buku tatu roho kwatu. Je ina maana ni nzuri?
 
Mimi mvaaji nakuwa nimekiona kizuri na sitaona kama kina utofauti na kile cha laki nne
Ahaaa kwahio kwenye uzuri bei doesnt matter ni vile mvaaji anavyokiona? Huoni ni contradiction na statement yako 'vaa saa ya 50k na kuendelea sio ya buku tatu'?
 
Ahaaa kwahio kwenye uzuri bei doesnt matter ni vile mvaaji anavyokiona? Huoni ni contradiction na statement yako 'vaa saa ya 50k na kuendelea sio ya buku tatu'?
Mimi nilikuwa nakufafanulia kauli ya mdau kwamba uvae saa ya bei nzuri
 
Back
Top Bottom