Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu fafanua tafadhali.Na kucha ziwe safi.
Perfume kusema kweli ina matter pia kwa wanaume kama vile kiatu, mkanda na saa, iwe ya bei nzuri halafu.
Unavaa saa ya 50k na kuendelea sio unavaa ya buku tatu lolHebu fafanua tafadhali.
hapa amesema perfume ndio nijue bei nzuri ni nini? btw kuna saa nzuri ya tzs 50k??Unavaa saa ya 50k na kuendelea sio unavaa ya buku tatu lol
Inategemea sasa wewe ni wa bei gani...kama huna uwezo wa kununua saa ya laki mbili then saa ya 50k wont be badhapa amesema perfume ndio nijue bei nzuri ni nini? btw kuna saa nzuri ya tzs 50k??
$24 watch? i dont think so.Inategemea sasa wewe ni wa bei gani...kama huna uwezo wa kununua saa ya laki mbili then saa ya 50k wont be bad
Sasa ukianza kuniandikia hayo ma$$ unanipoteza mi mgeni kabisa$24 watch? i dont think so.
Ukisema 50k inaonekana nyingi. Ila ukiiweka kwenye $$ utaona huwezi kupata saa nzuri kwahio hela.Sasa ukianza kuniandikia hayo ma$$ unanipoteza mi mgeni kabisa
Ndio maana mwanzo nimekuambia inategemea wewe mwenyewe wa bei gani...ni sawa na mtu atakwambia hakuna kiatu kizuri cha 50k wakati mi nikivaa cha 25 roho kwatuuuUkisema 50k inaonekana nyingi. Ila ukiiweka kwenye $$ utaona huwezi kupata saa nzuri kwahio hela.
Kuwa roho kwatu haina maana ni kizuri. Kuna watu kama ulivyosema wanavaa saa ya buku tatu roho kwatu. Je ina maana ni nzuri?Ndio maana mwanzo nimekuambia inategemea wewe mwenyewe wa bei gani...ni sawa na mtu atakwambia hakuna kiatu kizuri cha 50k wakati mi nikivaa cha 25 roho kwatuuu
Mimi mvaaji nakuwa nimekiona kizuri na sitaona kama kina utofauti na kile cha laki nneKuwa roho kwatu haina maana ni kizuri.
Ahaaa kwahio kwenye uzuri bei doesnt matter ni vile mvaaji anavyokiona? Huoni ni contradiction na statement yako 'vaa saa ya 50k na kuendelea sio ya buku tatu'?Mimi mvaaji nakuwa nimekiona kizuri na sitaona kama kina utofauti na kile cha laki nne
Mimi nilikuwa nakufafanulia kauli ya mdau kwamba uvae saa ya bei nzuriAhaaa kwahio kwenye uzuri bei doesnt matter ni vile mvaaji anavyokiona? Huoni ni contradiction na statement yako 'vaa saa ya 50k na kuendelea sio ya buku tatu'?
Hayanimekuelewa vizuri, asubuhi njema ngoja nigombee daladala hapa nishafika kituoni.Mimi nilikuwa nakufafanulia kauli ya mdau kwamba uvae saa ya bei nzuri
Poa boss kazi njemaHayanimekuelewa vizuri, asubuhi njema ngoja nigombee daladala hapa nishafika kituoni.
Mkanda sio sana mkuu maana sio wakati tunachomekea...Mostly kiatu,mkanda na saa
Ndio ukichomekea basi uzingatie hilo mfilipinoMkanda sio sana mkuu maana sio wakati tunachomekea...
Jaribu tu, hakika utaipenda, sio ile pink iliyokoleaaaaa alafu inang'aamkuu wanaovaa wavae lakini sio mimi.mimi nitavaa ikiwa tu ni uniform ya kazi.
Subiri siku naleta posa utamuonea wivu mwanao[emoji1]Ndio ukichomekea basi uzingatie hilo mfilipino
Khaaaah! Na uzee huu siku hizi wote nawachukulia kama wanangu tuSubiri siku naleta posa utamuonea wivu mwanao[emoji1]