Men's Fashion: DOs and DONTs

Men's Fashion: DOs and DONTs

Pink ndio new fashion kwa men ila usivae pink ambayo imekolea pink mpauko inafaa kwa wanaume
unarudi pale pale fasheni siku hizi hazieleweki,pink haijawahi kuwa fasheni ya wanaume.ni kwa watoto na wanawake.lakini poa si ndio wakati
 
unarudi pale pale fasheni siku hizi hazieleweki,pink haijawahi kuwa fasheni ya wanaume.ni kwa watoto na wanawake.lakini poa si ndio wakati
Hapo vipi?
187155437-actor-singer-host-nick-cannon-is-gettyimages.jpg
 
Drop your expertise, and help another brother get his style and grace together in this fashionable world we live in.

DOs

..Vaa viatu visafi kila mara. Attention unayovipa viatu vyako inaelezea unavyojithamini.

..Vaa nguo zinazokutosha sawia. Sio za kubana sana, wala zisiwe kubwa mno.

..Oga na jali usafi bro. Usafi ni afya.

DONTs

..Usichomekee kamwe kama mkanda haufanani na rangi ya kiatu chako.

..Usivae suti na huna usafiri, hata wa kukodi. Utachoreka tu.

..Usijichubue kamwe.

Karibuni.
......."usichomekee kamwe kama mkanda haufanani na viatu " dah aisee ndio naisikia kwa mara ya kwanza ~asante bro
 
Yes......8 or 7 yrs ago ndio ilikuwa hot kwa wanaume
Ujue still ni rangi nzuri na inarock sana...Sema naona wanaume wengi hampo comfortable nayo. Mtu atupie shati lake light pink na tai yake ya purple hivi uuuuuh. Sema tu hatuwezi kuwaforce mvae
 
Ujue still ni rangi nzuri na inarock sana...Sema naona wanaume wengi hampo comfortable nayo. Mtu atupie shati lake light pink na tai yake ya purple hivi uuuuuh. Sema tu hatuwezi kuwaforce mvae
sijagongana na shirt au tshirt nzuri ya pink lately...mi navaa rangi zote za kawaida na za ajabu red shirt,purple....green tshirt,yellow tshirt,orange tshirt
 
mshikaji amependeza lakini mimi siwezi vaa shati la pinki.yupo vizuri ila mimi nitafuatie shati kama hilo ila liwe rangi ingine yeyote kasoro nyekundu pia.
kwa nini?
 
sijagongana na shirt au tshirt nzuri ya pink lately...mi navaa rangi zote za kawaida na za ajabu red shirt,purple....green tshirt,yellow tshirt,orange tshirt
Eeeh ujue watu wakisikia shati jekundu sijui wanafikiria ni yale mekundu ya kung'aa, aisee tupia tu red shirt. Afu crazy colors mbona zinanoga sana tu, especially kwa watu wenye confidence zao.
 
Back
Top Bottom