Men's Fashion: DOs and DONTs

Men's Fashion: DOs and DONTs

Huwa nawafungulia sana milango ya grocery stores kina dada. Supervisor wangu mwenyewe namfungulia mlango wa ofisi kila napoweza. Ila hapo kwenye mlango wa gari ndio nimeshindwa.

Sema wanamama wa kibongo ni bora uwafungulie na kufunga, kwa sababu baadhi huwa wanabamiza milango ya gari kama wanaua kitu vile.
Hahaha sipandi tena gari lako unless unifungulie mlango, usijenitangaza nimekubamizia mlango teh
 
This's good, inapendeza sana mwanaume akiwa polite kwa wanawake.

Lakini mkuu kwa mlango wa gari, unawafungulia na kuufunga on chivalry au unaogopa mlango wa gari yako usiharibike! 🙂
 
Na mie ndo nimemuuliza eti!

Bibie unavofunguliwa mlango wa gari na kufungiwa kumbe mwenzio anahofia usije bamiza mlango wa gari yake ukauharibu!

Jamani kwa maguvu gani uliyo nayo ya kuvunja mlango wa gari?!, coz unaonekana kimbau mbau kama mie hapa!
 
Bora useme na wewe kimbau mbau mwenzangu. Watufungulie tu bana hata kama ni kwa kuogopa kuwabamizia milango hahha, it feels good basi tu hawaelewi tunavyojisikia
 
Do........pull out a chair for your lady when you go places, make sure she's sitting comfortably before you sit down.
If you plan to meet with her somewhere and you get there first, when you see her coming in, get up, meet her half way, sit her down, make sure she's comfortable, and again, before you sit.
(Kuongeza utanashati)
 
Bora useme na wewe kimbau mbau mwenzangu. Watufungulie tu bana hata kama ni kwa kuogopa kuwabamizia milango hahha, it feels good basi tu hawaelewi tunavyojisikia

It is indeed, the best feeling ever to be given that special care! 🙂

Yaani hata kama ka bore una msamehe dhambi zake.
 
Hahaha sijui kwa nini hawapendi kutufanyia vitu roho inapenda. Vitu vyenyewe vidogooo havicost chochote. Afu hawa wengi wanafanyia ukauzu their girls, ila kwa wadada wa pembeni sasa, mara kamletea lunch, mara kamkorogea chai, kidogo kashamsifia umependeza loooh....., waone kwanza
 
  • Thanks
Reactions: kui

Hivi kweli, kwa nini wale wa pembeni hufaidi hivi vitu vizuri vizuri, hata wale wasiofungua milango ya gari watafungua tu kwa wa pembeni halafu wenyewe wenye nyumba ni kununiwa tu mwanzo mwisho, kama sio kubamiziwa milango 🙁
 
Kuna duka la levi's lipo kariakoo mtaa wa samora..ila sidhani kama utamudu price...suruali zinaizwa hadi laki unusu,ila ukimudu utaivaa hadi mvi kama tu hautoimwagia tindikali..
Kariakoo kuna mtaa wa Samora??!! Mimi nilikuwa naijua Samora Avenue tu Posta.
 
Hivi kweli, kwa nini wale wa pembeni hufaidi hivi vitu vizuri vizuri, hata wale wasiofungua milango ya gari watafungua tu kwa wa pembeni halafu wenyewe wenye nyumba ni kununiwa tu mwanzo mwisho, kama sio kubamiziwa milango 🙁
Wa pembeni kuna mambo wanatoa nyinyi hamtoi si tushazoeana.
 
Do........pull out a chair for your lady when you go places, make sure she's sitting comfortably before you sit down.
If you plan to meet with her somewhere and you get there first, when you see her coming in get up, meet her half way, sit her down, make sure she's comfortable, and again, before you sit.
This should be another topic for another day.......
 
  • Thanks
Reactions: kui
Huwa nawafungulia sana milango ya grocery stores kina dada. Supervisor wangu mwenyewe namfungulia mlango wa ofisi kila napoweza. Ila hapo kwenye mlango wa gari ndio nimeshindwa.

Sema wanamama wa kibongo ni bora uwafungulie na kufunga, kwa sababu baadhi huwa wanabamiza milango ya gari kama wanaua kitu vile.
Kazi kweli kweli.....
 
Kuna duka la levi's lipo kariakoo mtaa wa samora..ila sidhani kama utamudu price...suruali zinaizwa hadi laki unusu,ila ukimudu utaivaa hadi mvi kama tu hautoimwagia tindikali..
Asante mkuu ndio najipanga kwenda kuchukua hata mbili za kuringishia...
 
This's good, inapendeza sana mwanaume akiwa polite kwa wanawake.

Lakini mkuu kwa mlango wa gari, unawafungulia na kuufunga on chivalry au unaogopa mlango wa gari yako usiharibike! 🙂

Sijui kama ni mimi tu, ama na wengine, huwa kuna maumivu na maudhi fulani hivi mtu akibamiza mlango wa gari, hata kama nimeazima. So huwa nasaidia kila napoweza kupunguza hiyo. Na situations ambazo zitahitaji mimi kufanya hivyo; kama wakati wa mvua, na mimi ndio nimeshika mwamvuli; au akiwa kabeba mtoto au chochote ambacho kitasababisha usumbufu kwake kufungua mlango; au pia kama namna gari ilivyo-park, inaruhusu yeye kuwa wa kwanza kuingia.

Ila honestly, it's not my thing, and I won't force it. But I do love helping with the seatbelt, like I can do that all day, everyday. And if she smells good, Oh lawwd have mercy!
 
Wakuu kwa wale wajuv wa mambo elezeen viatu vip vivaliwe na kadet, jinz au surual za vitambaa.

vans-era-59-cork-twill1-300x194.jpg

ab487bb3abf63c14a621347c6c06b21f.jpg

images

Black_Converse_Chuck_Taylor_All_Star_Lo_Top_Canvas_Shoes.jpg

2292492_fpx.tif

2015-Men-font-b-Classic-b-font-font-b-Loafer-b-font-Shoes-Trendy-Suede-Leather.jpg

mocasin.jpg

606123_00.png

Khakis (cadets) unavalia vyote hivyo. Inategemea tu aina ya mtoko.
 
Hivi kweli, kwa nini wale wa pembeni hufaidi hivi vitu vizuri vizuri, hata wale wasiofungua milango ya gari watafungua tu kwa wa pembeni halafu wenyewe wenye nyumba ni kununiwa tu mwanzo mwisho, kama sio kubamiziwa milango 🙁
Hahaha kipya kinyemi. Hata sisi wakati bado wanatumendea mendea walikuwa wanatutreat like Queens, sasa wameshatupata so wanatuchukulia poa tu, ngoja watupoteze teh
 
  • Thanks
Reactions: kui
Back
Top Bottom