Men's Fashion: DOs and DONTs

Men's Fashion: DOs and DONTs

Hahahaaaa!! Raha ya manundu umtoe mwingine, nitakushikia pochi mnyaki wangu uonyeshe kazi.[emoji12]
Hahah me nambana na haya matege, wewe unampiga na uchogo gwako khaaa mbona harudii teh
 
Mwanaume mwingine unamkuta anamitako na mapaja makubwa ila naye anataka avae hizi suruali zao za kubana, uwiiiii unabaki kuona aibu wewe unayemtazama.
We mtot hebu kuwa na staha kidogo, kuna baba zako humu!
 
Drop your expertise, and help another brother get his style and grace together in this fashionable world we live in.

DOs

..Vaa viatu visafi kila mara. Attention unayovipa viatu vyako inaelezea unavyojithamini.

..Vaa nguo zinazokutosha sawia. Sio za kubana sana, wala zisiwe kubwa mno.

..Oga na jali usafi bro. Usafi ni afya.

DONTs

..Usichomekee kamwe kama mkanda haufanani na rangi ya kiatu chako.

..Usivae suti na huna usafiri, hata wa kukodi. Utachoreka tu.

..Usijichubue kamwe.

Karibuni.
Leo ndo nimekuelewa kimtindo kachaa.. Kula gwara jemedari
 
Mwanaume mwingine unamkuta anamitako na mapaja makubwa ila naye anataka avae hizi suruali zao za kubana, uwiiiii unabaki kuona aibu wewe unayemtazama.

Gosh!, nimeshindwa kupita kimya jinsi ambavyo hauna mfano! 😀😀😀

atoto utafanya wakaka wa watu wajishuku kila wanapovaa 🙂
 
Gosh!, nimeshindwa kupita kimya jinsi ambavyo hauna mfano! 😀😀😀

atoto utafanya wakaka wa watu wajishuku kila wanapovaa 🙂
Ndio wajishuku ili wavae kuendana na miili yao.[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
  • Thanks
Reactions: kui
Kuongea kingereza sio tatizo, kama unakijua na kinakukubali. Kuna watu huwa wanalazimisha kuongea kama walivyosikia watu wa showbiz kiwanja wakiongea, na inakuwa matatizo. Design kama Salama kwenye vipindi vyake, akiswitch tu kusindikiza na lugha huwa na-mute kwa muda.
Sasa bwana paulo wasipokipraktizi watakijua lini? Acha wajifunze ukisikia kakosea mrekebishe ili akiweze, jakuna aliyezaliwa na lugha, wote tulijifunza, na tunajifunza kwa kuongea, hata hiki kiswahili tu bado ni mtihani.
Mdogo mdogo hata roma haikujengwa kwa siku moja, na ndio maana umeleta uzi huu ili turekebishane, haukusema tuache kuvaa.
 
Kujifunza ni poa sana. Na anayejifunza unamjua tu. Ila kuna wale kina Mchomvu (sina uhakika kama bado anafanya hivyo siku hizi). Salama pia huwa analazimisha lafudhi fulani hivi mara kadhaa akijaribu kuongea hiyo lugha. Rapa wa Salasala nae huwa anazingua balaa.
 
Kujifunza ni poa sana. Na anayejifunza unamjua tu. Halafu kuna wale kina Mchomvu (sina uhakika kama bado anafanya hivyo siku hizi). Salama pia huwa analazimisha lafudhi fulani hivi mara kadhaa akijaribu kuongea hiyo lugha.
Hahaaaaa umenikumbusha bwana nasibu, huwa naishia tu kuona aibu mimi.
 
Kujifunza ni poa sana. Na anayejifunza unamjua tu. Ila kuna wale kina Mchomvu (sina uhakika kama bado anafanya hivyo siku hizi). Salama pia huwa analazimisha lafudhi fulani hivi mara kadhaa akijaribu kuongea hiyo lugha. Rapa wa Salasala nae huwa anazingua balaa.
Tukiongea kwa lafudhi zetu za kisukuma tabu....tukiiga za kimarekani tabu.......kazi ipo
 
Back
Top Bottom