Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Hahaha sipandi tena gari lako unless unifungulie mlango, usijenitangaza nimekubamizia mlango tehHuwa nawafungulia sana milango ya grocery stores kina dada. Supervisor wangu mwenyewe namfungulia mlango wa ofisi kila napoweza. Ila hapo kwenye mlango wa gari ndio nimeshindwa.
Sema wanamama wa kibongo ni bora uwafungulie na kufunga, kwa sababu baadhi huwa wanabamiza milango ya gari kama wanaua kitu vile.