Men's Fashion: DOs and DONTs

Ngoja kwanza...late 90s na early 2Ks si ndo ilikuwa era ya over-sized jeans, over-sized throwback jerseys, white tees, na kadhalika?

You still stuck in that era?

SIKU HIZI IMEZIDI KUWA VIGUMU KUTOFAUTISHA JINSIA KWA MAVAZI.
Wanaume wanachubua
Wanaume wanasuka nywele
Wanaume wanaweka dawa nywele
Wanaume wanavaa tight suruali,shati nk nk
Wanaume wanavaa hereni
Wanaume wanavaa cheni
 
Ngoja kwanza...late 90s na early 2Ks si ndo ilikuwa era ya over-sized jeans, over-sized throwback jerseys, white tees, na kadhalika?

You still stuck in that era?

Levi's,Wrangler,Lee always ziko the same for years na sio buggy kama fashion za black americans ambao ndio waasisi wa oversize. Ukipata Levi's regular/boot fit inakuwa poa sana
 
Levi's,Wrangler,Lee always ziko the same for years na sio buggy kama fashion za black americans ambao ndio waasisi wa oversize. Ukipata Levi's regular/boot fit inakuwa poa sana

Jana tu nimeenda Macy's na nimeona Levi's za kila aina...kuanzia slim fit hadi baggy.

Usikariri tu kwamba hizo kampuni haziendi na wakati.

Zinafanya biashara na zinajua ni nini kiko kwenye chati na kipi hakipo kwenye chati.

Levi's zipo za kila aina na baggy ikiwa mojawapo ya hizo aina.
 
Honestly sijawahi kuona Levi's baggy na nishanunua from House of Fraser to Levi's store kwenyewe
 
Si yo showing what yo mama gave ya.
 
Usijichubue kama yule malizia tu hapo tu.

Hapo kwenye suti ni sawa kabisa
 
Hata hizo zipo ingawa kwa fashion trends za sasa ni chache.

Kwanza hizo labels ulizozitaja nadhani zimeshakufa kabisa.

Lakini, hiyo niliyoiweka ni baggy. Siyo regular fit.

Regular fit ziko hivi:

Hii ni straight fit mkuu....Mimi navaa REGULAR ni kama zile ulizoweka mwanzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…