Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hii ni straight fit mkuu....Mimi navaa REGULAR ni kama zile ulizoweka mwanzo
Kiatu,Saa,Simu na Pafyum hua vinasema wewe ni mwanaume wa aina gani...
Yeah this one too, sipendi zile zinawabana mpaka chururu inaimba haleluya.What about this.....
Na hiyo ndo regular fit ya Levi's ambayo iko categorizes na namba 505.
Kweli kabisa, nilikuwa nasubiri udanganye nikudake.Hii ni straight fit mkuu....Mimi navaa REGULAR ni kama zile ulizoweka mwanzo
hio sawa kabisa. 505 ndio regular fit na 501?Sasa hiyo ina tofauti gani na ile niliyoiweka mimi? Huoni zote zilivyo kubwa kubwa?
Ni hivi, kila label ina vipimo vyake [kama unalijua hilo].
Kwa Levi's, line ya 505 ndo regular fit. Na nimekuwekea tovuti yao uingie uone mwenyewe...usije ukasema nimetunga.
Ile picha ya awali ya Levi's baggy, ni baggy jeans kweli. Regular fits hazinaga nafasi kubwa vile.
Bado unakataa kwamba line ya 505 ya Levi's siyo regular fit?
Hata ukienda kwenye maduka yanayouza Levi's 505 huwa huwa zinawekwa kwenye sehemu ya regular fits na hata ukisoma label zake zinasema kabisa kuwa ni regular fits.
Halafu unakuta lisimu lina ringtone hiyo ipo sauti ya juu na ina linyimbo la ajaaaabu...Mtu ana simu ya line 3......inaitwa landrover.......hivi utakuwa unamaanisha nini........?.........
Hii ndio jeans yangu W34 L34
Kitu nilichojifunza leo namba zile ndio 'fit' nilikuwa napenda tu 501 coz naona zinanikaa vizuri, sio ndogo sio kubwa very comfy
Kitu nilichojifunza leo namba zile ndio 'fit' nilikuwa napenda tu 501 coz naona zinanikaa vizuri, sio ndogo sio kubwa very comfy
Hivi mkuu jinsi za levis kwa hapa Dar zinapatikana wapi na bei zake zinaanzia shilingi ngapi....??Kitu nilichojifunza leo namba zile ndio 'fit' nilikuwa napenda tu 501 coz naona zinanikaa vizuri, sio ndogo sio kubwa very comfy
Hii ni straight fit mkuu....Mimi navaa REGULAR ni kama zile ulizoweka mwanzo