Men's Fashion: DOs and DONTs

Karibu na Woolworth PPF TOWER kuna duka la Levi's pale, sikuwahi kununua pale na sina uhakika kama duka bado lipo
Hivi mkuu jinsi za levis kwa hapa Dar zinapatikana wapi na bei zake zinaanzia shilingi ngapi....??
 
Do

"Make sure your a familiar with sewing and tailoring skills."

Huwa nanunua baggy and regular then nazishona slim fit kwa kipimo changu mwenyewe....zinakuwa smart na murua saana.

Kuvaa baggy kwa robo saa hata waje FFU kombania nzima na magari ya maji ya kuwasha kuenforce hili sithubutu!!!...never!
 

Attachments

  • 1456943379569.jpg
    43.7 KB · Views: 84
Drop your expertise, and help another brother get his style and grace together in this fashionable world we live in.

DOs


..Usivae suti na huna usafiri, hata wa kukodi. Utachoreka tu.

Karibuni.

Hii inamhusu jamaa yangu anapiga suti ila kila siku anashika bomba kwenda posta via k.koo na kumalizia safari na bajaji
 
kitu kinachonikwaza ni saa kukatika kila kigoz chake chembamba cha kutight mkanda. sipend kuvaa ikiwa mkanda unaning'inia ama kumuona mtu kava saa kale kamkanda kananing'inia.
 
Ngoja kwanza...late 90s na early 2Ks si ndo ilikuwa era ya over-sized jeans, over-sized throwback jerseys, white tees, na kadhalika?

You still stuck in that era?

Nope! I used to wear baggy jeans and over-sized tees...but, sasa nipo ndani ya regular and straight tu...tees za kawaida, mashati ya draft draft....na mountain creek boots...Timberland chukka boots...
 
Yote tisa, kumi hakikisha mdomo haunuki. Aisee katika kitu ambacho nakuchukia maishani ni kusikia mdomo wa mtu ukinuka. Hiki ndicho kipimo cha ustaarabu na utanashati.
Mkuu Nzi,nilidhani wewe utakuwa unapenda vitu vinavyonuka,kama jina lako mkuu
 
Are u serious?
 
Na kuhusu bei zake vipi mkuu....maana nataka nijikakamue nikatungue japo tatu tu....maana hii mijinzi ya kichina haikawii kupauka....
Kuna kipindi nilipita kuangalia tu hilo duka...ni kweli wana Levi's nzuri, ila bei zao kibongobongo ni nuksi. Walikuwa wanauza jeans kwa laki 1 hadi laki 2. Hiyo ni miaka karibu 5 iliyopita...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…