Men's Fashion: DOs and DONTs

kuna mmoja aliniambia ndugu yake yupo ulaya. nikamuuliza nchi gani? eti akajjibu kuna nchi anasikia inaitwa ulaya!!! hapo hata uvae brand gani utaonekana haujatokelezea. pia haitakiwi kuwa mnerd.
 
kuna mmoja aliniambia ndugu yake yupo ulaya. nikamuuliza nchi gani? eti akajjibu kuna nchi anasikia inaitwa ulaya!!! hapo hata uvae brand gani utaonekana haujatokelezea. pia haitakiwi kuwa mnerd.

😀😀😀😀😀
 
unataka watu wapigiwe miluzi wewe. mwanaume kaa mbali na pink.
Daah bora umenisaidia mkuu, haya mambo ya nguo za pink yamemfanya yule DEO wa kipindi cha NIRVANA EATV kua vile alivyo, kama utani vile
 
Wadau mimi nauliza ni suti gani nzuri ya dukani au ya kushona na bei zake zikoje ? Na vp
Rangi gani nzuri ya kwenda ktk mambo ya harusi pale unapoalikwa?
Hahaha sorry kwa kucheka, siku nyingi sana sijasikia suti ya kushona mkuu hahah
 
Reactions: kui
kwaiyo mkuu suti hazishonwi zinadondoka toka angani au
Naanzaje kwenda kuchukuliwa vipimo na fundi anishonee suti mkuu ? Hahah daah wkt suti ziko dukan tayari ni kulipia na kuondoka nayo
 
Do.....keep in mind that ladies always come first.

Huwa nashangaa sana wanaume wanaotangulia kuingia mahali hata kama wako na wenzi wao wanawa acha nyuma hata hawashikii mlango na wanaweza hata kugongwa. Ladies first guys!

Hold doors for ladies, open a car door for your lady and don't slam it on her so that you look like a gentleman and polished.
 
dah sasa si ngumu kupata exact size yako....au unachukua halafu unafanyia marekebisho kidogo
Sijawahi ona mtu amekosa size yake sis. Mpk size za wakina komba, wasira, mwala,great Khali zote zipo ni wewe tu
 
Do you think chivalry is dead?

Or for us it wasn't even there in the first place?
 
Do you think chivalry is dead?

Or for us it wasn't even there in the first place?

Heheheh!,...one of the things I can't stand is men who act as if women don't exist.
Halafu in public!
 
Sijawahi ona mtu amekosa size yake sis. Mpk size za wakina komba, wasira, mwala,great Khali zote zipo ni wewe tu
Mkuuvsahivi bei ya suti ya mtu mzima ina rate shilingi ngapi dukani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…