Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,828
- 15,001
Teh teh..Hayo majanga sasa..Mama yako angenikubali kweliHapana nilijua Ni zile za kuvaa suruali ya metre 6, shati metre 3 na tai metre 1[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh..Hayo majanga sasa..Mama yako angenikubali kweliHapana nilijua Ni zile za kuvaa suruali ya metre 6, shati metre 3 na tai metre 1[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Ameshazoea swagga za wasukuma, so na wewe angekuzoea tu teh tehTeh teh..Hayo majanga sasa..Mama yako angenikubali kweli
Ngoja akusikieAmeshazoea swagga za wasukuma, so na wewe angekuzoea tu teh teh
unataka watu wapigiwe miluzi wewe. mwanaume kaa mbali na pink.Pink ndio new fashion kwa men ila usivae pink ambayo imekolea pink mpauko inafaa kwa wanaume
kuna mmoja aliniambia ndugu yake yupo ulaya. nikamuuliza nchi gani? eti akajjibu kuna nchi anasikia inaitwa ulaya!!! hapo hata uvae brand gani utaonekana haujatokelezea. pia haitakiwi kuwa mnerd.Do...equip your self with knowledge. Gotta know what to say, when and how to say it. Stuff that come outta your head/mouth can overshadow your slick/lame looks.
Don't...ever text like retard. We live in a digital world, so texting adds to your style and character. 'til "x" officially replaces "s", text like a real man.
For a pair of jeans kwangu mimi ni mtihani boss...ila TR bei kichaa
![]()
hii $379 ???!!!! Heaven Sent thaminisha hii.
kuna mmoja aliniambia ndugu yake yupo ulaya. nikamuuliza nchi gani? eti akajjibu kuna nchi anasikia inaitwa ulaya!!! hapo hata uvae brand gani utaonekana haujatokelezea. pia haitakiwi kuwa mnerd.
Daah bora umenisaidia mkuu, haya mambo ya nguo za pink yamemfanya yule DEO wa kipindi cha NIRVANA EATV kua vile alivyo, kama utani vileunataka watu wapigiwe miluzi wewe. mwanaume kaa mbali na pink.
Hahaha sorry kwa kucheka, siku nyingi sana sijasikia suti ya kushona mkuu hahahWadau mimi nauliza ni suti gani nzuri ya dukani au ya kushona na bei zake zikoje ? Na vp
Rangi gani nzuri ya kwenda ktk mambo ya harusi pale unapoalikwa?
Teh teh..Kuchanika,mirangi...
kwaiyo mkuu suti hazishonwi zinadondoka toka angani auHahaha sorry kwa kucheka, siku nyingi sana sijasikia suti ya kushona mkuu hahah
Naanzaje kwenda kuchukuliwa vipimo na fundi anishonee suti mkuu ? Hahah daah wkt suti ziko dukan tayari ni kulipia na kuondoka nayokwaiyo mkuu suti hazishonwi zinadondoka toka angani au
dah sasa si ngumu kupata exact size yako....au unachukua halafu unafanyia marekebisho kidogoNaanzaje kwenda kuchukuliwa vipimo na fundi anishonee suti mkuu ? Hahah daah wkt suti ziko dukan tayari ni kulipia na kuondoka nayo
Sijawahi ona mtu amekosa size yake sis. Mpk size za wakina komba, wasira, mwala,great Khali zote zipo ni wewe tudah sasa si ngumu kupata exact size yako....au unachukua halafu unafanyia marekebisho kidogo
Do.....keep in mind that ladies always come first.
Huwa nashangaa sana wanaume wanaotangulia kuingia mahali hata kama wako na wenzi wao wanawa acha nyuma hata hawashikii mlango na wanaweza hata kugongwa. Ladies first guys!
Hold doors for ladies, open a car door for your lady and don't slam it on her so that you look like a gentleman and polished.
True Religion ni sheeder!
Good thing unaivaa mpaka unaichoka.
Do you think chivalry is dead?
Or for us it wasn't even there in the first place?
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hahaha sorry kwa kucheka, siku nyingi sana sijasikia suti ya kushona mkuu hahah
Mkuuvsahivi bei ya suti ya mtu mzima ina rate shilingi ngapi dukani?Sijawahi ona mtu amekosa size yake sis. Mpk size za wakina komba, wasira, mwala,great Khali zote zipo ni wewe tu