Men's Fashion: DOs and DONTs

Hahahaaaaaa!! Kuna kitu nilitaka niongee ila nimeghairi kwa hisani ya mashemeji zangu.
mie niko very sensitive na uvaaji wa wanaume, though hizo isue za brands hata sio kihiiivyo ila kuna some looks nikimuona nazo mtu nachoka roho na maini.
 
kitu kinachonikwaza ni saa kukatika kila kigoz chake chembamba cha kutight mkanda. sipend kuvaa ikiwa mkanda unaning'inia ama kumuona mtu kava saa kale kamkanda kananing'inia.
nunua Rolex au Rado au Geneva.. hizo kadhia hautazipata.
 
Hahahaaaaaa!! Kuna kitu nilitaka niongee ila nimeghairi kwa hisani ya mashemeji zangu.
mie niko very sensitive na uvaaji wa wanaume, though hizo isue za brands hata sio kihiiivyo ila kuna some looks nikimuona nazo mtu nachoka roho na maini.
Wewe uko sensitive na wallet zao tu......
 
Hahahaaaaaa!! Kuna kitu nilitaka niongee ila nimeghairi kwa hisani ya mashemeji zangu.
mie niko very sensitive na uvaaji wa wanaume, though hizo isue za brands hata sio kihiiivyo ila kuna some looks nikimuona nazo mtu nachoka roho na maini.
Hahaha nashukuru kumbe mashikolo mageni tupo wengi. Me mambo yao ya brands yashanishinda. Me nachojua ni umependeza or not..

Teh sema tu kuhusu shemeji zako, najua kuna design yao mpya ya mapazia imetoka hahahaha
 
Vipi na sisi wenye miguu myembamba kama Kagame tunaruhusiwa kuvaa pensi?
 
Hahaha nashukuru kumbe mashikolo mageni tupo wengi. Me mambo yao ya brands yashanishinda. Me nachojua ni umependeza or not..

Teh sema tu kuhusu shemeji zako, najua kuna design yao mpya ya mapazia imetoka hahahaha
Apendeze na vitu vya maana sio mtishirt kama blauzi na jinz ya buku5 k.koo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…