Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuhhhhh.....!!!!!!!
Hahahaaaa! Umenifurahisha huo mshangao.Maweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!................
Hahahaaaaaa!! Kuna kitu nilitaka niongee ila nimeghairi kwa hisani ya mashemeji zangu.Wanawake huwa tunanunua vitu na kuvaa ili kuringishiana wenyewe (wanaume wengi hawajui vitu vya kike). What about you men? Maana kama wengine hapa me ntakwambia tu yule mkaka katoka mwaah, hayo mambo ya levis sijui nini ni hadi nisome label na hata naweza nisielewe kama ndo hot brand teh. Au me tu ndo mshamba wa kinyaki? atoto wewe ukimuona mkaka unaweza kujua kavaa brand gani au ushazoea tu swagga za mashemeji zako
Kwakweli, we pendeza weeee tupia sijui levis sijui nini ila km bahiri hata sioni kama umependeza.[emoji85]Hiyo tu. Ndio one fashion suicide kwa mwanaume. Lol
Mwanaume hasifiwi sura wala mavazi
Sasa mpenzi na hiyo mibanio si utanitishia mtoto[emoji134]Bro we nimekuelewa..
Kweli kabisa utalaanika, bora unipe mimi.Mkuu suruali ya tzs 750,000 nikinunua nitapata laana!
Mpwa si unaona hizo bei zenyewe lakini.....!!Hahahaaaa! Umenifurahisha huo mshangao.
Kwakweli, sasa zile za elfu20 ndio hizo vimeo.Mpwa si unaona hizo bei zenyewe lakini.....!!
Inabidi kidume nijibane nipate hata moja ya kuopolea warembo mitaa ya sinza...Kwakweli, sasa zile za elfu20 ndio hizo vimeo.
nunua Rolex au Rado au Geneva.. hizo kadhia hautazipata.kitu kinachonikwaza ni saa kukatika kila kigoz chake chembamba cha kutight mkanda. sipend kuvaa ikiwa mkanda unaning'inia ama kumuona mtu kava saa kale kamkanda kananing'inia.
agiza online via AmazonMkuu hao jamaa bei zao sio rafiki kabisa....
Teh..Acha kuniua basi..Miguu yangu iko poaSasa mpenzi na hiyo mibanio si utanitishia mtoto[emoji134]
Wewe uko sensitive na wallet zao tu......Hahahaaaaaa!! Kuna kitu nilitaka niongee ila nimeghairi kwa hisani ya mashemeji zangu.
mie niko very sensitive na uvaaji wa wanaume, though hizo isue za brands hata sio kihiiivyo ila kuna some looks nikimuona nazo mtu nachoka roho na maini.
For a pair of jeans kwangu mimi ni mtihani boss...ila TR bei kichaa
![]()
hii $379 ???!!!! Heaven Sent thaminisha hii.
Uvaaji unadetermine walet imetuna kiasi gani, sio upendeze alafu mfukoni empty, aiseee naweza zimia.Wewe uko sensitive na wallet zao tu......
Hahaha nashukuru kumbe mashikolo mageni tupo wengi. Me mambo yao ya brands yashanishinda. Me nachojua ni umependeza or not..Hahahaaaaaa!! Kuna kitu nilitaka niongee ila nimeghairi kwa hisani ya mashemeji zangu.
mie niko very sensitive na uvaaji wa wanaume, though hizo isue za brands hata sio kihiiivyo ila kuna some looks nikimuona nazo mtu nachoka roho na maini.
Usmart unaficha umaskini, utakuja ukopwe hadi nauli shauri zako tehUvaaji unadetermine walet imetuna kiasi gani, sio upendeze alafu mfukoni empty, aiseee naweza zimia.
Apendeze na vitu vya maana sio mtishirt kama blauzi na jinz ya buku5 k.koo.Hahaha nashukuru kumbe mashikolo mageni tupo wengi. Me mambo yao ya brands yashanishinda. Me nachojua ni umependeza or not..
Teh sema tu kuhusu shemeji zako, najua kuna design yao mpya ya mapazia imetoka hahahaha
Ndio maana nikasema habari za kupendeza wakati mfukoni hamna kitu marufuku tusije haribiana siku, hivyo vitu viambatane tafadhali.Usmart unaficha umaskini, utakuja ukopwe hadi nauli shauri zako teh