Men's Fashion: DOs and DONTs

Men's Fashion: DOs and DONTs

Wanawake huwa tunanunua vitu na kuvaa ili kuringishiana wenyewe (wanaume wengi hawajui vitu vya kike). What about you men? Maana kama wengine hapa me ntakwambia tu yule mkaka katoka mwaah, hayo mambo ya levis sijui nini ni hadi nisome label na hata naweza nisielewe kama ndo hot brand teh. Au me tu ndo mshamba wa kinyaki? atoto wewe ukimuona mkaka unaweza kujua kavaa brand gani au ushazoea tu swagga za mashemeji zako
Hahahaaaaaa!! Kuna kitu nilitaka niongee ila nimeghairi kwa hisani ya mashemeji zangu.
mie niko very sensitive na uvaaji wa wanaume, though hizo isue za brands hata sio kihiiivyo ila kuna some looks nikimuona nazo mtu nachoka roho na maini.
 
kitu kinachonikwaza ni saa kukatika kila kigoz chake chembamba cha kutight mkanda. sipend kuvaa ikiwa mkanda unaning'inia ama kumuona mtu kava saa kale kamkanda kananing'inia.
nunua Rolex au Rado au Geneva.. hizo kadhia hautazipata.
 
Hahahaaaaaa!! Kuna kitu nilitaka niongee ila nimeghairi kwa hisani ya mashemeji zangu.
mie niko very sensitive na uvaaji wa wanaume, though hizo isue za brands hata sio kihiiivyo ila kuna some looks nikimuona nazo mtu nachoka roho na maini.
Wewe uko sensitive na wallet zao tu......
 
For a pair of jeans kwangu mimi ni mtihani boss...ila TR bei kichaa
m859nvq6_cvtm_frt1

hii $379 ???!!!! Heaven Sent thaminisha hii.

Hii nguo ina AC ya ndani kwa ndani.? Inajifua yenyewe ama.? Na kuchanika huko bado natoa tuu pesa nanunua nguo iliyochanika.

Kama ndo fasheni na inipite tuu.
 
Hahahaaaaaa!! Kuna kitu nilitaka niongee ila nimeghairi kwa hisani ya mashemeji zangu.
mie niko very sensitive na uvaaji wa wanaume, though hizo isue za brands hata sio kihiiivyo ila kuna some looks nikimuona nazo mtu nachoka roho na maini.
Hahaha nashukuru kumbe mashikolo mageni tupo wengi. Me mambo yao ya brands yashanishinda. Me nachojua ni umependeza or not..

Teh sema tu kuhusu shemeji zako, najua kuna design yao mpya ya mapazia imetoka hahahaha
 
Vipi na sisi wenye miguu myembamba kama Kagame tunaruhusiwa kuvaa pensi?
 
Hahaha nashukuru kumbe mashikolo mageni tupo wengi. Me mambo yao ya brands yashanishinda. Me nachojua ni umependeza or not..

Teh sema tu kuhusu shemeji zako, najua kuna design yao mpya ya mapazia imetoka hahahaha
Apendeze na vitu vya maana sio mtishirt kama blauzi na jinz ya buku5 k.koo.
 
Back
Top Bottom