Men's Fashion: DOs and DONTs

Men's Fashion: DOs and DONTs

Ndio maana nikasema habari za kupendeza wakati mfukoni hamna kitu marufuku tusije haribiana siku, hivyo vitu viambatane tafadhali.
hahaha kwa hiyo kama mtu ana viwalo vyake asitupie kisa tu kafulia?. Hakuna cha kuambatanisha hapa hahahha
 
Uvaaji unadetermine walet imetuna kiasi gani, sio upendeze alafu mfukoni empty, aiseee naweza zimia.
Umaridadi unaficha umaskini....by the time unajua mfukoni empty too late
 
Drop your expertise, and help another brother get his style and grace together in this fashionable world we live in.

DOs

..Vaa viatu visafi kila mara. Attention unayovipa viatu vyako inaelezea unavyojithamini.

..Vaa nguo zinazokutosha sawia. Sio za kubana sana, wala zisiwe kubwa mno.

..Oga na jali usafi bro. Usafi ni afya.

DONTs

..Usichomekee kamwe kama mkanda haufanani na rangi ya kiatu chako.

..Usivae suti na huna usafiri, hata wa kukodi. Utachoreka tu.

..Usijichubue kamwe.



Karibuni.

Hapo kwenye red, Ina maana niache kunywa maji????
 
Enheeee hapo hapo wewe ndio umenena jambo la msingi....hebu niambie nawezaje kuagiza hizi mambo online...na vipi kuhusu vipimo.....??
wee Google hitaji lako mbele malizia na Amazon utapata namna ya kununua,
na huku Jamii forums ukipitia kule kwenye biashara kuna maelezo ya kina juu ya kununua bidhaa mtandaoni
 
wee Google hitaji lako mbele malizia na Amazon utapata namna ya kununua,
na huku Jamii forums ukipitia kule kwenye biashara kuna maelezo ya kina juu ya kununua bidhaa mtandaoni
Asante sana ndugu kwa kunitoa tongo tongo....
 
Badilisha vest,chup*,soksi kila siku. Oga kila siku.In short kuwa msafi.Sio unanuka jasho la pombe,mdomo unanuka sigara,soksi zinanuka,chup mpaka ina madoa madoa....Mnawatesa wake zenu na warembo wenu mnapolala nao..
 
Kuna kipindi nilipita kuangalia tu hilo duka...ni kweli wana Levi's nzuri, ila bei zao kibongobongo ni nuksi. Walikuwa wanauza jeans kwa laki 1 hadi laki 2. Hiyo ni miaka karibu 5 iliyopita...
20k 😱😱😱
 
Duuh I was watching AMVCA, wakaka na visuti vyao looh, sio kwa kupendeza kule. Afu well fitted suits na body structure ya mtu inaonekana yani hadi nimeshindwa nimchague nani., hakuna mambo ya metre 6 lol
 
Back
Top Bottom