Dr Adam Francis
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 790
- 1,316
Mambo ni mengi, muda ni mchache!The sequence of virginity and marriage
1. Hitaji la asili lilikuwa virgin
2. Hitaji lililofuata likawa si bikira bali awe hana mtoto
3. Ikafuatia mtoto sio tatizo je afya iko sawa?
4. Sasa hivi yote hayo sio kipaumbele je ana kazi?
Dah...... kihisabati Shape ni inversely proportion to tabia.... yaani ukipewa shape unanyimwa tabia na kinyume chakeMvuto wa Muda Mfupi" dhidi ya "Uimara wa Muda Mrefu
Shape hubadilika (baada ya uzazi au umri), na bikira hupotea siku ya kwanza ya ndoa. Lakini tabia—hekima, heshima, uvumilivu, na jinsi anavyoweza kuisimamia familia—ndio inayobaki.
"Shape inakuvuta chumbani, lakini tabia ndio inakubakiza sebuleni
Kwa mtazamo wangu naoa mwanamke si tabia, wala shape, mengine ni majaliwa ya mwenyezi Mungu.Mvuto wa Muda Mfupi" dhidi ya "Uimara wa Muda Mrefu
Shape hubadilika (baada ya uzazi au umri), na bikira hupotea siku ya kwanza ya ndoa. Lakini tabia—hekima, heshima, uvumilivu, na jinsi anavyoweza kuisimamia familia—ndio inayobaki.
"Shape inakuvuta chumbani, lakini tabia ndio inakubakiza sebuleni
Unene huo.Mbona hujazungumzia sura?
Mimi nilioa flat ila ana sura nzuri sana.
Ila nashangaa baada ya watoto wawili amepata shepu ushwara! Sijui ni kunenepa au nini