πhaya bhana,nimetoaUkifa nazo utapata dhambi...
Nipo Mkuu MALCOM LUMUMBAKuna hawa wadau sijawaona muda mrefu, sijui hata wamepotelea wapi ???
5. Dotworld
Kitambo sana kamanda! Natumai unaendelea vyema......Nipo Mkuu MALCOM LUMUMBA
Jamani BAK hivi kapotelea wapi vile!Kuna hawa wadau sijawaona muda mrefu, sijui hata wamepotelea wapi ???
1. Gamba la Nyoka
2. mwekundu
3. Kimweri
4. Jasusi
5. Dotworld
6. izzo
7. Rev. Kishoka
8. Andrew Nyerere
9. Barubaru
10. Companero
11. Lole Gwakisa
12. Bongolander
13. Mingoi
14. BAK
15. Uso wa nyoka
Sifahamu kabisa alipo.Jamani BAK hivi kapotelea wapi vile!
Naendelea vyema Mkuu, nashukuru - nafikiri na wewe u mzima. Mimi nipo sana humu ila huwa si-comment mara kwa mara ... huwa naangalia tu watuKitambo sana kamanda! Natumai unaendelea vyema......
Mtajiju watu wa Dar,, huku maji yapo 24/7
Me ndio naenda mtaa wa 7 kutafuta maji saivi
Yaaani mi ntaimba π maaana haikua rahisi huu mwakaHello my ladies π₯°
Nilisahau kama leo ni November mpka my lady Carleen akanishtua na some blessings.
Kujeni hapa tugawane baraka π π
Baba Yetu wa Mbinguni atubariki na kutulinda tumalizie mwaka vizuriii..
Ikifka December tuanze kuimba, from January to December nimejua aliyenilindaaa..NI YEYE π€²
Lenie Amehlo Darlin Joanah π
Thank you baby girl, yeah leo ni new month bado miezi miwili tu mwaka uishe.Hello my ladies π₯°
Nilisahau kama leo ni November mpka my lady Carleen akanishtua na some blessings.
Kujeni hapa tugawane baraka π π
Baba Yetu wa Mbinguni atubariki na kutulinda tumalizie mwaka vizuriii..
Ikifka December tuanze kuimba, from January to December nimejua aliyenilindaaa..NI YEYE π€²
Lenie Amehlo Darlin Joanah π
Hello my ladies π₯°

Hhahhahah jamaniHello my ladies π₯°