Kule naeza pitisha masiku na mawiki sijaenda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Valentina ... hakuna hata aliyenificha luv. Nilipumzika JF kama miaka 4 hivi.... MMU naona mambo tofauti siku hizi. Nimemiss enzi zetu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Nimeona hilo pia.Kule naeza pitisha masiku na mawiki sijaenda
Hapanogi sikuhizi
Upo daslam hii mrembo?Nimeona hilo pia.
Yes, mara ya mwisho umeniona sijui mwaka gani... Sasa hivi mdada πππππUpo daslam hii mrembo?
Basi tutafutane mpenzi [emoji39]Yes, mara ya mwisho umeniona sijui mwaka gani... Sasa hivi mdada [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Yes my luv πππBasi tutafutane mpenzi [emoji39]
ChokozaaKuna mtu memiss kumchokoza humu
Kuna movie naangalia hapa aloo ni tamu balaa ππKingereza nakijulia wapi me St. Kayumba
Ndio ukajikuta na wewe mblack america sioπKuna movie naangalia hapa aloo ni tamu balaa ππ
Inani turn on kwenye nyanja nyingi
Imeninogea sanaNdio ukajikuta na wewe mblack america sioπ
Yaitwaje
Nisaidie kulitukana li Nyani NgabuChokozaa
Nisaidie kulitukana li Nyani Ngabu
Dada yangu nimekumiss! Jana nimekuona unalia na timu yako