Mention someone without any reason just to disturb them

Mention someone without any reason just to disturb them

Jirani baby wako kashatekwa na baby mwingine baada ya kukuachia wewe asubuhi hii hii..
Jirani jamani usiseme hivyo nikaanza kulia hapa kwa jinsi navyomuamini na kumpenda baby wangu.

Ila hana hizo tabia bana, ni mtu mwema
 
Jirani jamani usiseme hivyo nikaanza kulia hapa kwa jinsi navyomuamini na kumpenda baby wangu.

Ila hana hizo tabia bana, ni mtu mwema
Tumekubaliana hivyo kijiweni Jirani... Ukinyanyuka mwingine anakaa, kama siti ya daladala...
 
Jirani jamani usiseme hivyo nikaanza kulia hapa kwa jinsi navyomuamini na kumpenda baby wangu.

Ila hana hizo tabia bana, ni mtu mwema
Embu nifungulie pm Jirani nikubembeleze usilie...
 
Kumbe ndio zenu eeh

Na sisi ni mwendo mdundo, yaani tit for tat
Alisikika mlevi moja akiropoka hayo maneno...

Akatokea binti mmoja Kwa jina anaitwa Lenie akapayuka Kwa sauti akisema...

"Kumbe ndiyo zenu eeh" sisi zetu ni mateso...
 
Back
Top Bottom