Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Embu fanya kama unalegeza pm, ili nijue kama sijui..Usiziamini sana jirani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Embu fanya kama unalegeza pm, ili nijue kama sijui..Usiziamini sana jirani
Hahaha nipo tayari kushtakiwa jirani...Nimegoma kufungua, ukate tamaa hapa hapa kwa comments.
Na ukiendelea kunisumbua kuhusu hilo nitakushtaki kwa mods.
Adam na Hawa wangeweza kukatiana tamaa, nami ningekata tamaa...Nimegoma kufungua, ukate tamaa hapa hapa kwa comments.
Na ukiendelea kunisumbua kuhusu hilo nitakushtaki kwa mods.
Hahaa sema suuuu nikushitakiHahaha nipo tayari kushtakiwa jirani...
Nipo tayari hata kwenda jela...
Lakini pm yako nije tena Kwa mbwembwe... Nitakata umeme kama Tanesco ila sitaka tamaa...
Sasa je, naomba tusameheane pm Jirani, fungua kidogo...Hahaa sema suuuu nikushitaki
Bahati yako tu wewe jirani yangu, nimekusamehe
Hahahaa endelea na moyo huo huo wa kutokata tamaa, utafika mbali kijanaAdam na Hawa wangeweza kukatiana tamaa, nami ningekata tamaa...
Si nimesema huko sifungui, siwezi badili msimamo jiraniSasa je, naomba tusameheane pm Jirani, fungua kidogo...
Jirani jitahidi uepuke ni hizi dhambi ndogo ndogo....Hahahaa endelea na moyo huo huo wa kutokata tamaa, utafika mbali kijana
Jirani unaogopa kunifungulia pm sababu mimi ni chai na wewe ni mkate...Si nimesema huko sifungui, siwezi badili msimamo jirani
Kama kukufungia pm ni dhambi, niko tayari kwenda motoni jirani.Jirani jitahidi uepuke ni hizi dhambi ndogo ndogo....
Kama hizi za kunifungia pm...
Jirani, msimamo alikua nao Yuda na bado akamsaliti Yesu...Si nimesema huko sifungui, siwezi badili msimamo jirani
🤣🤣🤣Jirani unaogopa kunifungulia pm sababu mimi ni chai na wewe ni mkate...
Na mimi ninao ila sitamsaliti yoyote sababu mimi sio msaliti jiraniJirani, msimamo alikua nao Yuda na bado akamsaliti Yesu...
Fungua pm ili twende wote motoni...Kama kukufungia pm ni dhambi, niko tayari kwenda motoni jirani.
Ila sifunguiiiiiiii
Ewaa embu nione msimamo wako pm...Na mimi ninao ila sitamsaliti yoyote sababu mimi sio msaliti jirani
Nitakulegeza na utelegea mpaka yako macho...🤣🤣🤣
Ndio naogopa utaniunguza jirani
Hapa hujauona?Ewaa embu nione msimamo wako pm...
Sijawahi kulegezwa na vitu vidogo kama hivyo jiraniNitakulegeza na utelegea mpaka yako macho...
Nani atamuokoa mwenzake wote tukienda motoni jiraniFungua pm ili twende wote motoni...
Hapa kuna ukungu...Hapa hujauona?